Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dejavu. & @all naomba kufahamu kama kweli ile 100% fisrt deposit bonus kuanzia 20,000 hadi 1,000,000 wanaitoa kweli instantly na je, itakuwepo kwenye wallet ya kawaida ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina masharti kibao hiyo bonus... Ukiweka million moja kwa mfano wanakupa bonus million moja ambayo ili uweze kuitumia utatakiwa kuibetia tena mara nne na kila bet iwe na odds 1.9 ndio unakuwa umeiactivate iwe hela yenye eligibility ya kuiwithdraw.

Usiiwazie hii bonus, Its complicated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.
 
Uko sahihi kwa upande fulani..lakini Kuna kitu wanaita Paye...pay as you earn..naona hapa inakula kwetu zaidi..
Ni wizi wanafanya, hebu wale tunaotumia hizo kampuni tupungue au tupunguze kasi ya kuzitumia uone kama hawataiondoa hiyo kodi. Parimatch walikuwa wameweka hiyo kodi baada ya kugundua kuwa watu wanaikwepa sasa wameiondoa. Yaani kampuni zinataka zichukue hela zetu halafu pia Kwa wale wachache wanaoshinda ndio waisaidie tena kampuni kulipa kodi huku wao wakiendelea kubaki Na faida zaidi.
 
Ina masharti kibao hiyo bonus... Ukiweka million moja kwa mfano wanakupa bonus million moja ambayo ili uweze kuitumia utatakiwa kuibetia tena mara nne na kila bet iwe na odds 1.9 ndio unakuwa umeiactivate iwe hela yenye eligibility ya kuiwithdraw.

Usiiwazie hii bonus, Its complicated.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa yaani unapewa bonus ambayo sio bonus kihalisia, aiseee. Bonus with complex conditions, 1xbet mwanzo walikuwa wakinipa sana mabonus yao hadi laki tano naenda kuimalizia yote kwenye spin and win sitaki shida Mimi.
 
Wee jamaa umenichekesha sana
........
Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakwama wapi wazee Wa kubeti?

Ukiwa na M-pesa Master card, unaweza kufanya malipo yako kwenda 1xbet simpo tu.

Mahitaji
1-laini ya Voda (Activate M-pesa MasterCard)
2- PayPal application (IPO play store)

Fanya kuunda Account huko PayPal kwa makini.

Note; Makato yako pande 2 1xbet na paypal wakati Wa kuweka na kutoa pesa na ni makato mazuri tu ambayo mapigo ya moyo lazima yaende mbio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2]

Hivi vipi kuhusu ile "ECOPAYZ""????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.
Mkuu ni mwendo Wa kutema ung'eng'e, Aiseee.
 
View attachment 1044688

Kwa kutumia app ilikua inaleta iyo msg

Kwa tuliozoea premier betting ukija 1xbet unadhan kudeposit n mpaka wakupe slip kumbe unatakiwa kwenda kwenye menu ya Safari unaenda lipa unaweka namba ya kampun kiasi chako unaconfirm kazi kwisha ukirud kwenye website unakuta mzigo upo Kama n Mara ya Kwanza unakuta kiasi kingine Kama ulichoweka kipo juu yake
 
Wada tunaobeti makampuni ya kimataifa aisee kule shule za muhimu.
Niliwithdraw hela toka tar 3 na ilibidi iingie jana. Sasa nilipoona haiingii ikabidi niwaandikie kwa live chat. Yule dada akanipa email ya kuwasiliana na operator wa miamala au niwasiliane kwa desktop version eti.
Sasa nikaona usumbufu bwana, si nikaomba call back! Weh! Baada ya dakika tano akapiga simu halafu niko mbele za watu. English anayoongea inaonesha ni ya kwa Rooney mwenyewe! Tulipoelewana vizuri ni aliposema ntaje no ya kitambulisho! Yaani nilitamani tuendelee hapohapo.
Nilivyoona hali inakuwa tete nikasema simsikii vizuri network inakata, naomba nimwandikie kwa email, lakini wapi! Kila nikisema thank you, dada anamwaga ngeli tu. Dah! Kweli shule ina mchango wake kila mahali.

Hahaha ... na hizi shule zetu za "elimu bure" ... hahaha, hatareeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! Hahahaaaaa

Back
Top Bottom