Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mechi ya Porto U19 HT over 0.5 and over 1.5
Mkuu Safaricom ndio mpesa kenyaNimejisajiri na safaricom
Kuna kipigo cha mbwa koko kinaendelea hapa.Mmh hizo odds 4 za bure. Hebu tazameni historia ya hizi timu. View attachment 1044631View attachment 1044632
Nimewaandalia kilo, potelea mbaliiWakuu Siku ya Jmosi Muue Mnyama atapigwa na As Vita hii jiandaeni kustake Mlima siku hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dejavu. & @all naomba kufahamu kama kweli ile 100% fisrt deposit bonus kuanzia 20,000 hadi 1,000,000 wanaitoa kweli instantly na je, itakuwepo kwenye wallet ya kawaida ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa mkuu.Unakosea sana usipende kurudia mechi hyo hyo kwenye mikeka mingi yaani maana yake ikiharibu tu hyo mechi mikeka yote inachanika.
HahahahahDah! Serikali nayo yaani kila sehemu inatia mkono huku wangetuachia jamani mbona naona kama kodi
kubwa sana?
1,591,329 kodi ya zuio318,066 unapata 1,273,363 Wakati wao hawachangii wazo lolote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1,591,329 kodi ya zuio318,066 unapata 1,273,363 Wakati wao hawachangii wazo lolote
Mi nina presha zangu na mechi mbili zilizobaki wao wanasubiri kodi tu nikikosa hawana shida.
Hizo kampuni zinazotoza kodi kwenye winning ticket zinawaibia Wateja, kampuni zinatakiwa kulipa kodi kutoka kwenye faida wanayoipata sio kuiba hela walizoshinda Wateja.1,591,329 kodi ya zuio318,066 unapata 1,273,363 Wakati wao hawachangii wazo lolote
Mi nina presha zangu na mechi mbili zilizobaki wao wanasubiri kodi tu nikikosa hawana shida.