faokipe
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 1,017
- 1,182
We usiende huko yaani naona unataka kutumia kama ulivyokua unadepost kabla hawajaondoa mobile payment huku kwetu!!nenda moja kwa moja kwenye cm yako Fanya muamala kama unavyonunua luku pesa itaingia kwenye account yakoNimesha install VPN, nika download 1xbet ya kenya na kufungua akaunti mpya ishu inakuja nikienda options ya deposit nakuta kuna MPESA Kenya but niki click iyo option ndio inaleta uo ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app