Binafsi nimepoanga hivi, 1.Lec 2. Coven 3. Aston, 4 north 5. draw 6.charlton, 7.draw 8. grozny 9. Kras 10.Rioo 11 Esp. 12 Draw 13 ac millanNdugu zangu nawapigia magoti hizi mechi ni kiboko kabla sijacheza naomba mnisaidie maoni yenu
kwa zile ambazo muna uhakika nazo tu, hata ukipendekeza moja si mbaya mwenenu niko kizimbani
nataka kujilipua.View attachment 1046065
Confirmed inaandikwa sehemu gani kweny account baada ya kuwithdrawImekuwa confirmed???
Mkuu kwenye betting hakuna option laini hata siku moja
- Nice vs Toulouse-penalty awarded NO
- Lille vs Monaco-Player red card NO
- Real sociedad vs levante-Player red card NO
- Cagliari vs Fiorentina-Player red card NO
- Borussia Monchengladbach vs Freinburg-Player red card NO TOTAL 2.28 ODDS..........STAKE 300,000 uhakika 5000 percent we ruka nayo....... sasahivi ni mwendo wa no redcardtu....nimechoka kuliwa.,Mungu ameumba jambo jipya kila mtu atalinda mtaji wake......option ziko nyingi tu za uhakika kama hizi
0626064800Wakuu, naombeni msaada kama kuna mtu ana namba ya simu ya kuwasiliana na Premierbet. Nimewatumia email toka majuzi, walijibu kwamba kuna mtu atanisaidia lkn mpk saiv kimya.
Wameshikilia pesa zangu kisa kuna game ya tennis ilikuwa retired (tena nikiwa nimeshinda kabla haijawa retired) toka tar 12.
Ohoo! Basi hawa jamaa hawako serious, hii namba kuna kipindi nilikua nawasiliana nao though wasap mkuuAsante sana Chief.
Naambiwa namba imezuiliwa kwa muda. Kuna namba nyingine mkuu?
Zaidi ya hiyo sina mkuu labda fanya kuchek hapo kwenye website yao sehemu ya contacts wameweka namba kadhaa ujaribu na zingine km zinapatikanaAsante sana Chief.
Naambiwa namba imezuiliwa kwa muda. Kuna namba nyingine mkuu?
Uki taka kutoboa izi mechi usi bet ulivo zoeaNdugu zangu nawapigia magoti hizi mechi ni kiboko kabla sijacheza naomba mnisaidie maoni yenu
kwa zile ambazo muna uhakika nazo tu, hata ukipendekeza moja si mbaya mwenenu niko kizimbani
nataka kujilipua.View attachment 1046065
Acha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaanaMkuu kwenye betting hakuna option laini hata siku moja
Wiki moja nilikomaa na No red card, No penalty
Dadeq hapo ndio nilijua penati na red card ni vitu rahisi mno kutoka......nilichoka kabisaaa halafu odds vidogooo
Anyway...all the best mkuu
Mkuu acha kabisa kuna option ukiziona unaona kama odd za bure...bet uone moto wakeAcha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaana
Sasa kwa mechi za jana nkawa na sema doo wale wanao semaga hii opt ni rahis wana hali ganiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
SINGLE PLAY MPWAA