Ila kweli mzee......inabidi walete option ya kutabiri refa atapuliza firimbi mara ngapi maana hizi option nyngne hatari tupuMkuu kwenye betting hakuna option laini hata siku moja
Wiki moja nilikomaa na No red card, No penalty
Dadeq hapo ndio nilijua penati na red card ni vitu rahisi mno kutoka......nilichoka kabisaaa halafu odds vidogooo
Anyway...all the best mkuu
umetishqa faru kabula
Acha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaana
Sasa kwa mechi za jana nkawa na sema doo wale wanao semaga hii opt ni rahis wana hali ganiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariiIla kweli mzee......inabidi walete option ya kutabiri refa atapuliza firimbi mara ngapi maana hizi option nyngne hatari tupu
Zaidi ya hiyo sina mkuu labda fanya kuchek hapo kwenye website yao sehemu ya contacts wameweka namba kadhaa ujaribu na zingine km zinapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
- Nice vs Toulouse-penalty awarded NO
- Lille vs Monaco-Player red card NO
- Real sociedad vs levante-Player red card NO
- Cagliari vs Fiorentina-Player red card NO
- Borussia Monchengladbach vs Freinburg-Player red card NO TOTAL 2.28 ODDS..........STAKE 300,000 uhakika 5000 percent we ruka nayo....... sasahivi ni mwendo wa no redcardtu....nimechoka kuliwa.,Mungu ameumba jambo jipya kila mtu atalinda mtaji wake......option ziko nyingi tu za uhakika kama hizi
Kapotelea wapi Yule jamaa... Mzee 10min X uhakika 100000%Acha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaana
Sasa kwa mechi za jana nkawa na sema doo wale wanao semaga hii opt ni rahis wana hali ganiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatarii
Nilitengeneza mkeka wa game 20 kwa option ya No own goal
Daaah own goal zilitokea 9
Champ league nilitandika mkeka wa No goal in added time.... lost
Nikachagua hakuna goli litaingia likakataliwa lost
Substitute player no score...akatupia....lost
Dk 1 ya kwanza kipa asikuse mpira,.,,lost
Dk1 ya kwanza no throw ball......lost
Hakuna option rahisi
1xbet mkuuKampuni gani uliokuwa unatumia yenye option zote hizo mkuu?