Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,992
Akikujibu unitag Mkuu..jamaa anaziotea sana..na sio Mara ya kwanza namuona.Mmh we jamaa,hizi mechi za droo huwa unazitoaga wapi?? Hebu kuwa mkweli aisee
Akikujibu unitag Mkuu..jamaa anaziotea sana..na sio Mara ya kwanza namuona.Mmh we jamaa,hizi mechi za droo huwa unazitoaga wapi?? Hebu kuwa mkweli aisee
Akikujibu unitag Mkuu..jamaa anaziotea sana..na sio Mara ya kwanza namuona.
Sijaelewa hapa,so ina maanisha ukiweka laki 4 unapata million au ni vp?
Aiseee...tuliofuata tukutane dirishani.View attachment 1046305
Hahaa Mkuu Kandu88 ,yeye si anajifanya mstaarabu hataki kuwa mstaarabu, nimemlima block sitaki kuona mashudu Yake.Mkuu soka255 anakusalimia sana anasema umemfanyia mtimanyongo umemblock eti[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa Mkuu Kandu88 ,yeye si anajifanya mstaarabu hataki kuwa mstaarabu, nimemlima block sitaki kuona mashudu Yake.
Wakuu nimeona mdau kasema tucheki Mostbet, uzuri wa hii kampuni ina Mobile payments za Tanzania. Options zipo nying hasa kwa ligi kubwa kama ilivyo kwa 1xbet. Odd zake pia zipo bomba. Kama vp unaeza ingia kweny website yao https://mostbet.com/register ili kujionea zaid. Hii nayo itakua ni Kampuni bora kuja Tz ukiachilia 1xbet. Uzuri wake inayo App pia. Tuijaribu.
Note:I AM NOT AN AGENT OF THE CONCERNView attachment 1046284
Mbona namba ya hii betting siioni aisee nataka niidondoshee ten angalau niiangalie option zao
Hii ni Moja ya Ofa zakeView attachment 1046293
Namba kivipi fafanua.....kudeposit kupo hapohapo na nahic ishu ya M-Mlipa inahusika
Sijaielewa namna ya kudepost pesa aisee!!
Kiongozi,,naomba nipigie kupitia hapa 0754895539 samahani sanaNenda hiyo sehemu ya Id account, click hapo then utaona chaguzi(option) ya deposit then fata maelekezo View attachment 1046363View attachment 1046364View attachment 1046365
Mkuu ushaitumia na umejiridhisha kama haisumbui kwenye kuweka na kutoa kama ilivyokua 1Xbet?Nenda hiyo sehemu ya Id account, click hapo then utaona chaguzi(option) ya deposit then fata maelekezo View attachment 1046363View attachment 1046364View attachment 1046365
Kiongozi,,naomba nipigie kupitia hapa 0754895539 samahani sana
Mkuu ushaitumia na umejiridhisha kama haisumbui kwenye kuweka na kutoa kama ilivyokua 1Xbet?
Aiseee ngoja niwe serious nitafute line ya safaricom nipate udambwi dambwi kama wote..btw hongera kiongozi.Jana nilitoa 1xbet within 10mins mpunga ulisoma kwangu katika simu
Nimejaribu kudeposit hela kidogo toka saa 11 jioni but transaction ID/code hao M-LIPA hawajanitumia hadi sasa hivi, full usumbufu nawapiga chiniNenda hiyo sehemu ya Id account, click hapo then utaona chaguzi(option) ya deposit then fata maelekezo View attachment 1046363View attachment 1046364View attachment 1046365