Sirnone
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 738
- 722
Hivi kweli Brent Ford wewe ndo wakuninyima mm million 2 odd zangu zote zimetiki kasoro wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe Na wewe kakufanyia mbaya.Hivi kweli Brent Ford wewe ndo wakuninyima mm million 2 odd zangu zote zimetiki kasoro weweView attachment 1047310
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani leo sio siku poa kabisa upande wng.. najua there is always one (wa)aliyepiga.
Let's Go Wolverhampton vs Man United, natafuta GG tu hii second half ili nimbamize kanji 895K kwa Dau la Tsh 1551.
Unaa haki ya kujipongezaa mkuu safiiiFinal score Wolverhampton 2:1 Man United, hatimaye huyu kumanina Kanji kakalia kidole cha kati, yaani ni bahati iliyoje kwangu:
Mechi ngumu 6
Dau Tsh 1,551
Kushinda Tsh 895,494 after Tax
Hivi kweli Brent Ford wewe ndo wakuninyima mm million 2 odd zangu zote zimetiki kasoro weweView attachment 1047310
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu kwa jins nilivyouka mkeka wako mzee inabd ukatoee fungu l kumii io ilkuwa ngumu kumez mkuuHivi hizi hela za kushinda betting tunaruhusiwa kwenda kuzitoa fungu la kumi kanisani au msikitini?
Sijajua unawekaje!? Sijajua huwa wanakwambiaje!?Naomba kujua mcheza wanataka password za aina gani maana kila ninapoweka wanakataa
Mkuuu kwa jins nilivyouka mkeka wako mzee inabd ukatoee fungu l kumii io ilkuwa ngumu kumez mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii wolves aisee ni balaaMan U kakamatiwa
Iko safi hii ila unaweza shangaa huyo mwenye odd 1.28 ananyea kambi.
Hatari aiseeHii wolves aisee ni balaa