Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mm kampuni ikishaweka wizi Wa kodi hata iwe Na option gani sina urafiki nayo.
Wolves hana utani na big team hata kidogoHii wolves aisee ni balaa
Kabisa mkuu ndio maana 1xbet tunaipenda sana, kuliko makampuni uchwara ya kibongo.Mm kampuni ikishaweka wizi Wa kodi hata iwe Na option gani sina urafiki nayo.
Kweli mkuuu maana game hazin adabuIko safi hii ila unaweza shangaa huyo mwenye odd 1.28 ananyea kambi.
Mikeka ya direct win kipindi hiki ligi zilipofikia ni hasira
Eee mkuu lkni nikujitoa fahamu sometimeMikeka ya direct win kipindi hiki ligi zilipofikia ni hasira
Unakuta game moja tu mshuka daraja kampiga mfukuzia ubingwa kujinusuru
Atletico alichonifanya jana Mungu anamuona
Ukiangalia Ni kama Pesa vile..ila dah mchawi akosekaniiMkeka 1
Real Oviedo win odds 1.84
PSV win odds 1.29
Juventus win odds 1.67
SD Eibar win odds 1.66
Liverpool win odds 1.26
Eintracht Frankfurt win odds 1.41
Atalanta win odds 1.22
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan, noma sana Mkuu.Mm kampuni ikishaweka wizi Wa kodi hata iwe Na option gani sina urafiki nayo.
Mechi zote za EPL na FA za Jana zimetema GG aisee
Tena hao wenye odd za 1.22 ndio wachawi wakubwaUkiangalia Ni kama Pesa vile..ila dah mchawi akosekanii
Aiseee...!!!View attachment 1047319