Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mpaka sasa unaonaje uelekeo wa Arsenal mkuu?Nikwambie tu liverpool ipo nafasi ya 8 arsenal nafasi ya kwanza lakini Guardiola anaiwazia liverpool kuliko arsenal wazungu wanasema
Class is permanent and form is temporary arsenal labda ukinambia kuwania UEFA champions position sawa ila kwenye kuchukua league bado sana wanahitaji muda hata sosha alianzaga hivi hivi mwisho wa siku hakuna alichoambulia.
Goli la dhahabu kwa ushindi wa leo
Wanawakumbuka askari wao waliopigana vita ya kwanza ya dunia na kufa vitani.Wakuu hako kaalama chenye tobo jeusi kana maana gani?View attachment 2408575
.Arsenal wanapendeza ila nasubiri waanze kukutana na Chelsea, Spurz, Man Utd, Wolves, Leeds, Westham.. zile timu korofi.
Baada ya hapo waje kucheza na Liverpool na Man City, hapo ndio nitapata picha yao ya msimu huu.
Lazima awe ameipata.Vp umeipata au bado.
.