Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

Nikwambie tu liverpool ipo nafasi ya 8 arsenal nafasi ya kwanza lakini Guardiola anaiwazia liverpool kuliko arsenal wazungu wanasema
Class is permanent and form is temporary arsenal labda ukinambia kuwania UEFA champions position sawa ila kwenye kuchukua league bado sana wanahitaji muda hata sosha alianzaga hivi hivi mwisho wa siku hakuna alichoambulia.
Mpaka sasa unaonaje uelekeo wa Arsenal mkuu?
 
Wakuu hako kaalama chenye tobo jeusi kana maana gani?
Screenshot_20221106-170908.jpg
 
ARSENAL MMENIFANYA NIJUE KWANINI YANGA WAKO HIVI WALIPOINGIA MAKUNDI SHIRIKISHO.
 
Vp umeipata au bado.
Arsenal wanapendeza ila nasubiri waanze kukutana na Chelsea, Spurz, Man Utd, Wolves, Leeds, Westham.. zile timu korofi.

Baada ya hapo waje kucheza na Liverpool na Man City, hapo ndio nitapata picha yao ya msimu huu.
.
 
Back
Top Bottom