Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .

leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
Mbona mpo kwa arteta kufkuzwa na c kusema apewe ela asajir wa2 wa maana
 
N ninasema afukuzwe tu. Mambo ya kuangalia Mechi za Arsenal na vidonge vya Presha pembeni nimechoka Mimi.
Huku kuna viwanda umiza vingi sanaa ila mechi za arsenal naona banda lililopo karibu na hospitali yake wilaya litakuwa linajaza hatari..
 
Umelifukua kaburi ili ajione alovo empty wa mpira au? ila atakuambia uzi wake ulisaidia arteta anze kuwa seriaz
Huyu jamaa huwa ana chuki tu na Arteta , ana nyuz humu ,za kutosha , Arsenal ikifungwa anazifukua aonekane nabii
 
Back
Top Bottom