kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 588
- 463
Mbona mpo kwa arteta kufkuzwa na c kusema apewe ela asajir wa2 wa maanaHuyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .
leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
Na leo kazi imeendelea.Mashabiki wa Arsenali bhana! Sisi wa Chelsea tunasubiri tu ligi ianze ili tuanze kushusha vipigo vya mbwa mwizi baada tu ya kuurejesha kundini mtambo wetu wa magoli.
πππMbona Arteta ni kocha mzuri ameleta mafanikio Arsenal na kushinda kombe la FA, na Community Shield au kuna shida gani tena ?
Apewe hela ili asajili magalasa yanayoumwa kama ParteyMbona mpo kwa arteta kufkuzwa na c kusema apewe ela asajir wa2 wa maana
πππYaan huyu ateta aondoke tu hata usiku wa leo.
Hawezi nifanya nisiangalie mpira. Eti mchezani anaitwa sambi...
Hii timu itashuka daraja.
Sambi si ndio wamasai wanavyotamka dhambi ππππYaan huyu ateta aondoke tu hata usiku wa leo.
Hawezi nifanya nisiangalie mpira. Eti mchezani anaitwa sambi...
Hii timu itashuka daraja.
N ninasema afukuzwe tu. Mambo ya kuangalia Mechi za Arsenal na vidonge vya Presha pembeni nimechoka Mimi.Afukuzwe tu anafanya mashabiki wa Arsenal tuishi kwa mashaka kweli
Kaniboa mno huyuN ninasema afukuzwe tu. Mambo ya kuangalia Mechi za Arsenal na vidonge vya Presha pembeni nimechoka Mimi.
Huku kuna viwanda umiza vingi sanaa ila mechi za arsenal naona banda lililopo karibu na hospitali yake wilaya litakuwa linajaza hatari..N ninasema afukuzwe tu. Mambo ya kuangalia Mechi za Arsenal na vidonge vya Presha pembeni nimechoka Mimi.
Umelifukua kaburi ili ajione alovo empty wa mpira au? ila atakuambia uzi wake ulisaidia arteta anze kuwa seriazWewe jamaa Ni mpiga ramli sana ,
Huyu jamaa huwa ana chuki tu na Arteta , ana nyuz humu ,za kutosha , Arsenal ikifungwa anazifukua aonekane nabiiUmelifukua kaburi ili ajione alovo empty wa mpira au? ila atakuambia uzi wake ulisaidia arteta anze kuwa seriaz
Ni mjuaji tu.Huyu jamaa huwa ana chuki tu na Arteta , ana nyuz humu ,za kutosha , Arsenal ikifungwa anazifukua aonekane nabii