Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .

leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
Ndio maana huwa sikuamini kwa mambo mengi unayoandika hapa JF.
 
Reactions: Tui
Huyu mtabiri abakie kwenye siasa tu. Huku mambo ya sports aachane nayo.
 
Hivi jinga haliwezi kusema jambo la maana iwe kwenye siasa au mpira.Arteta ni kocha mzuri sana aliyebadilisha mentality ya uchezaji ya Arsenal.
Fighting spirit imekuwa ya hali ya juu na anaimudu benchi lake la ufundi hasa kwenye dressing room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…