Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Huyu aliyekua. Rais wa Russia kipind hicho cha ukomunist ,alifanya mengi mazuri ,ila kuna mambo alichemka ,siyo mbaya kuna kufeli plan ,kufel plan siyo kwamba binadamu anapenda ,ila Putin kaonyesha utoto sana kutihudhuria msiba wa muasisi mkubwa nchini Russia .
Ilanatabiri Putin ataipeleka Russia kubaya kuliko huyu mwamba.
Usishangae akazikwa kama mbwa.
Time will spoke.
Inaonekana Putin hekima na busara kwake so kitu ,amelewa madaraka na pesa alizojikusanyia kwenye utawala wake .
Anguko lake linakaribia.