Burundi, Rwanda, Somalia, sudani Tanzania N/Korea Iran, China, Urus etc hizo ni nchi ambazo hazisifiwi na marekani na ndiyo maana unasikia wahamiaji haramu na halali wanakufa wakijaribu kuingia ndani ya hizo nchi.
Nchi kama Canada, Uingereza, Germany etc ni nchi maskini tupu.
Nionyeshe mzamiaji 1 anaetamani kuzamia Germany nami nikuonyeshe maelfu wanakufa mpakani mwa Somalia na Kenya wakijaribu kuingia Somalia kutafuta Ndululu.
Mwaka jana iran imechangia 75% ya bajeti yetu ya Afya wakati Canada ikituomba Mkopo ilhali tunawadai malimbikizo ya madeni.