Nadhani hajakosea. Wewe ni muumini wa msaada kama njia ya Afrika kujikwamua. Una imani ya ulaya na marekani kama ndio suluhu ya maisha na kimbilio letu ndio maana wengi wetu na wahamiaji toka Japan na Sweden wanafurika sana DRC ukiamini kuwa maendeleo ya DRC yanachakizwa na uwepo wa UK.
Una imani ya kuwa viongozi kama Mobutu ni waovu kuliko Hiltler .
USAID ni moja ya Ngo's za misaada Afrika na kuinua vijana na wajasiliamali lkn ukisoma agenda zake ni za kisiasa je hili unaweza kulifanya huko kwako wewe?
Viongozi dhalimu wa Kafrika wapo na walikuwepo lkn haiondoi kuwa Afrika itaendelea kwa sera ambazo si lazima ziwe kwa misaada hadi sasa afrika inadaiwa. Lini italipa deni lake kwa wakopeshaji.? IMF ni mashirika ya kinyonyaji tu
Sent from my SM-G955U using
JamiiForums mobile app