Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

Ripoti hii ingekuwa zinazoongoza Pwani,Lindi na Mtwara wangekuja wavimba macho na kuihusisha na dini.Ilivyo sasa hutasikia hayo bali mikoa inayoongozwa haina wastaarabu ikiongozwa na Dar.
 
Mnavyofungia wanaume ndani kuwapa malavidavi wanashindwa kuondoka ni ukatili wa kijinsia.
Kama hv
Screenshot_20240514-145358.jpg
 
Back
Top Bottom