Elimu pia iko vizuri kule.Arusha na Kilimanjaro ni nyumbani kwa waliostaarabika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu pia iko vizuri kule.Arusha na Kilimanjaro ni nyumbani kwa waliostaarabika.
Report za kisomi zinasemaje?Wameru je?
Wanawake wanavyochinjwa kule ....
Atakayelipinga hilo ujue anatania tu!Arusha na Kilimanjaro ni nyumbani kwa waliostaarabika.
Dar ipo kanda gani? Ficha ujinga wako.Ripoti hii ingekuwa zinazoongoza Pwani,Lindi na Mtwara wangekuja wavimba macho na kuihusisha na dini.Ilivyo sasa hutasikia hayo bali mikoa inayoongozwa haina wastaarabu ikiongozwa na Dar.
tumestaarabika sanaDar es Salaam - 13,719
Shinyanga - 12,300
Mara - 9,823
Mwanza - 9,242
Geita - 7,697
Kigoma - 7,544
Kagera - 7496
Tabora - 7,471
Ruvuma - 7,425
Tanga - 6,827
Chanzo: Wizara ya Afya
Wewe umeshuhudia wangapi ambao hawajasema?Njombe inakosekana vipi?
Au wahanga wengi wanaogopa kusema?
Tatizo kubwa ni ukosefu wa Elimu. Mwamko wa Elimu bado upo chini.Kanda ya ziwa na ukatili ni ndugu wa damu
Kabisa mkuuTatizo kubwa ni ukosefu wa Elimu. Mwamko wa Elimu bado upo chini.
Wewe ndio mjinga.Dar huwa inahesabiwa kama Cosmopolitan City na sio sehemu ya kanda.Dar ni mchanganyiko wa watu kutoka sehemu zote za Nchi na Nje ya Nchi bila kujali utamaduni wao.Kama unashindwa kujua hilo basi una matatizo ya kutumia akili.Dar ipo kanda gani? Ficha ujinga wako.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Dar ipo kanda gani? Ficha ujinga wako.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ulitumia research factor au reference gani kujua miongoni mwa walionyanyasa Ke hapo Dar si wa kanda hiyo?Wewe ndio mjinga.Dar huwa inahesabiwa kama Cosmopolitan City na sio sehemu ya kanda.Dar ni mchanganyiko wa watu kutoka sehemu zote za Nchi bila kujali utamaduni wao.Kama unashindwa kujua hilo basi una matatizo ya kutumia akili.
Sawasawa Chifu.Watu wa Kanda ya ziwa waliolundikana Dar ndiyo wanaoharibu sifa nzuri za jiji hilo.
Kwa kawaida wenyeji wa ukanda huo hawana tabia za ukatili wa kijinsia.
Ndiyo maana unaona mkoa wa Pwani na mikoa jirani ya Lindi na Morogoro hawamo kwenye orodha hiyo.
Umeona wapi research yangu?Nani kaandika kwamba sio wa Kanda ya Dar?Unajua kusoma na kuelewa ulichosoma?Usinilishe maneno.Uwezo wako wa kujadili mada ni mdogo unarukaruka tu bila kufuata mpangilio wa kuunga mkono hoja au kupinga.Ulitumia research factor au reference gani kujua miongoni mwa walionyanyasa Ke hapo Dar si wa kanda hiyo?
Ficha ujinga wako, narudia tena ficha ujinga wako.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.