Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui unachoongea zaidi ya kuropoka , unadhani ni takwimu za localized area hizo kwamba sensa ilifanyika mjini pekee?Tanga isiwepo ina asilimia ndogo ya slums
Kabishane na sensa
Ndio kama wewe unabishia Hadi Utafiti
😅😅😅😅 kweli kabisa, ni pale mjini kati tu ndo mkoloni alipa pangilia.Hujui unachoongea zaidi ya kuropoka , unadhani ni takwimu za localized area hizo kwamba sensa ilifanyika mjini pekee?
Huo Mkoa sio tuu uko top 5 ya slums bali unaongoza Kwa vijumba vya tembe,matope ,maudongo na aina zingine za umaskini
Ina maana baada ya zile barabara "ngapi" kinachoendelea ni sakalambanda aka vurugumechi aka afe nani?😅😅😅😅 kweli kabisa, ni pale mjini kati tu ndo mkoloni alipa pangilia.
Bila Dar kuongoza Kwa slums hiyó list ni fakeTanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums.
Pamoja na hali hiyo mbaya ya kimakazi ila Kuna Mikoa imetoa fora Kwa Makazi Yao mengi kujengwa kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na hivyo.
Mikoa 10 inayoongoza Kwa kuwa na uswahili mwingi yaani slums or Squatters ni kama ifuatavyo ;
1.Kagera 85.9%
2.Simiyu 82.4%
3.Geita 77.5%
4.Singida 77%
5.Songwe 75.7%
6.Tabora 74.3%
7.Kilimanjaro 74%
8.Tanga 72.8%
9.Katavi 72.7%
10.Manyara 72.2%
NB
Matokeo haya ni Kwa mujibu wa sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2022 by NBS.
View attachment 3184454
My Take
Kwa mara nyingine Mbeya haipo kwenye Mikoa ya hovyo huku Mikoa ya watu wenye majigambo ikiwa ni miongoni mwa watu wanaishi bila ustaarabu mfano Kagera na Kilimanjaro.
Mikoa ambayo walau Ina kiwango Nafuu Cha Mipango Miji ni
-Dar
-Kigoma
-Mbeya
-Iringa
-Morogoro
-Mwanza
-Arusha
Pia soma Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza
Kafanye sensa Yako ulete majibuBila Dar kuongoza Kwa slums hiyó list ni fake
Huhitaji sensa kujua Dar ni jiji lililopangiliwa hovyó..wazungu wanaita kijiji pembezoni mwa Bahar'i ya hindi.Kafanye sensa Yako ulete majibu
Halafu unatakiwa kuelewa sensa haijasema slums ni maeneo Ambayo hayajapimwa. . Kama ni slums Dar ni ya kwanzaTanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums.
Pamoja na hali hiyo mbaya ya kimakazi ila Kuna Mikoa imetoa fora Kwa Makazi Yao mengi kujengwa kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na hivyo.
Mikoa 10 inayoongoza Kwa kuwa na uswahili mwingi yaani slums or Squatters ni kama ifuatavyo ;
1.Kagera 85.9%
2.Simiyu 82.4%
3.Geita 77.5%
4.Singida 77%
5.Songwe 75.7%
6.Tabora 74.3%
7.Kilimanjaro 74%
8.Tanga 72.8%
9.Katavi 72.7%
10.Manyara 72.2%
NB
Matokeo haya ni Kwa mujibu wa sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2022 by NBS.
View attachment 3184454
My Take
Kwa mara nyingine Mbeya haipo kwenye Mikoa ya hovyo huku Mikoa ya watu wenye majigambo ikiwa ni miongoni mwa watu wanaishi bila ustaarabu mfano Kagera na Kilimanjaro.
Mikoa ambayo walau Ina kiwango Nafuu Cha Mipango Miji ni
-Dar
-Kigoma
-Mbeya
-Iringa
-Morogoro
-Mwanza
-Arusha
Pia soma Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza
Umekurupuka Hakuna slums hapoKafanye sensa Yako ulete majibu
baada ya barabara za namba ile ya 20 kwenda mbele ni vuruga vigodoro yoyote anacheza.Ina maana baada ya zile barabara "ngapi" kinachoendelea ni sakalambanda aka vurugumechi aka afe nani?
naam, percentage hua inamtego sana, makampuni makubwa yanaweza funga na faida ya asilimia 30% kwa mwaka, mtu binafsi nanaweza funga na asilimia 200% faida kwa mwaka. ila ukija fungua kampuni mtaji 1 billion , mtu binafsi mtaji 10 million, so kampuni imemuacha mbali sana kwenye actual figuresMkuu.
Ukiua mtu mmoja kati ya wawili, umeua 50%.
Ukiua watu milioni moja kati ya milioni 2, umeua 50%.
Hayo mauaji yote ni sawa kwa sababu ni 50%?
Huu ni uongo,hapo kwenye list ya mikoa inayoongoza kuwa na uswahili toa Tanga na Singida,pia kwa mikoa inayoongoza kuwa na mipango miji mizuri usiache kuiweka Dodoma...Tanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums.
Pamoja na hali hiyo mbaya ya kimakazi ila Kuna Mikoa imetoa fora Kwa Makazi Yao mengi kujengwa kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na hivyo.
Mikoa 10 inayoongoza Kwa kuwa na uswahili mwingi yaani slums or Squatters ni kama ifuatavyo ;
1.Kagera 85.9%
2.Simiyu 82.4%
3.Geita 77.5%
4.Singida 77%
5.Songwe 75.7%
6.Tabora 74.3%
7.Kilimanjaro 74%
8.Tanga 72.8%
9.Katavi 72.7%
10.Manyara 72.2%
NB
Matokeo haya ni Kwa mujibu wa sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2022 by NBS.
View attachment 3184454
My Take
Kwa mara nyingine Mbeya haipo kwenye Mikoa ya hovyo huku Mikoa ya watu wenye majigambo ikiwa ni miongoni mwa watu wanaishi bila ustaarabu mfano Kagera na Kilimanjaro.
Mikoa ambayo walau Ina kiwango Nafuu Cha Mipango Miji ni
-Dar
-Kigoma
-Mbeya
-Iringa
-Morogoro
-Mwanza
-Arusha
Pia soma Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza
You nailed itMjue kutofautisha kati ya kupimwa na kurasimishwa, na kupangiliwa.
Kunaweza kuwa na kijiji nyumba zake zimepangiliwa kimtaa vizuri kabisa lakini hazijarasimishwa wala hazijapimwa na kuwekwa kwenye ramani za mipango miji au upimaji.
Unaweza kuwa na eneo la mjini kabisa na viwanja vimepimwa na vimerasimishwa na kuwa kwenye mipangomiji ingawa choo cha jirani kinaangalia baraza lako. na mbele kuna duka la kinyozi na pembeni mwa nyumba kuna ki-grocery na nyuma uani kuna mabanda ya kuku.
Kuna sehemu zimepimwa ila zipo hovyo sana ingawa hazihesabiwi kama slums. Mfano ni Goba, nyumba nzuri ila pako hovyo hakuna mitaa iliyonyooka na mabonde kibao kama Capri Point ya Mwanza nayo ni mpangilio wa hovyo tu.
Kukosekana kwa Dar ni sawa na kukosekana kwa Mbeya. Yaani hiyo mikoa ina ujenzi holela ni balaa. Utadhani mtu alikuwa anamwaga mpunga kumbe ni nyumba. Ikitokea ajali ya moto nyumba moja ikaungua unakuwa ni msururu wa nyumba zaidi ya 10 kuungua.Wamepimaje na Dar imekosaje hapo?