Mikoa 10 inayoongoza Kwa Ujenzi Holela (Squatters) Kwa Tanzania

Kukosekana kwa Dar ni sawa na kukosekana kwa Mbeya. Yaani hiyo mikoa ina ujenzi holela ni balaa. Utadhani mtu alikuwa anamwaga mpunga kumbe ni nyumba. Ikitokea ajali ya moto nyumba moja ikaungua unakuwa ni msururu wa nyumba zaidi ya 10 kuungua.
Naam,

Vigezo vyao vina walakini mkubwa sana.
 
Kukosekana kwa Dar ni sawa na kukosekana kwa Mbeya. Yaani hiyo mikoa ina ujenzi holela ni balaa. Utadhani mtu alikuwa anamwaga mpunga kumbe ni nyumba. Ikitokea ajali ya moto nyumba moja ikaungua unakuwa ni msururu wa nyumba zaidi ya 10 kuungua.
Wewe ambacho huelewi ni nini? Hizo unazoziona Dar au Mbeya ni chache kuliko zilizoko huko kwenu.

Harafu sensa ni ya Nchi nzima na matokeo ni ya Mikoa sio Mji mmja mmja
 
Many.....kusa ni hovyo sana.
 
Kukosekana kwa Dar ni sawa na kukosekana kwa Mbeya. Yaani hiyo mikoa ina ujenzi holela ni balaa. Utadhani mtu alikuwa anamwaga mpunga kumbe ni nyumba. Ikitokea ajali ya moto nyumba moja ikaungua unakuwa ni msururu wa nyumba zaidi ya 10 kuungua.
Tatizo ni serikali. Ila watu wanajenga Nyumba za maana japo zipo vichochoroni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…