Mikoa 10 inayoongoza Kwa Ujenzi Holela (Squatters) Kwa Tanzania

Arusha hawajalosea hizo takwimu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sina hakika sana kama una tafsiri ya hayo matokeo ya makazi kujengwa kwenye maeneo yasiyopimwa na ulichokiandika hapa. Unaelewa maana ya slums au squatters?

Kwa ufupi ni kwamba hali ya ujenzi kwenye maeneo yaliyopimwa huwezi kuchukua hizo taarifa za jumla bila kutofautisha maeneo ya mijini ambako kwa kiasi maeneo yamepimwa na vijijini ambako ni maeneo machache yaliyopimwa au kurasimishwa rasmi.

Vilevile unatakiwa uelewe kwamba takwimu za NBS zinatwambia ni maeneo yasiyopimwa na si maeneo yenye squatters kama ulivyojinasibu hapa.

Mtu wa Kilimanjaro aliyejenga kijijini kwake Kirua ndani ya hekari moja au robo heka ambako hakujapimwa atabaki anakushangaa wewe na ulichokiandika kwamba wako na slums au squatters. Vilevile mtu wa Kagera, n.k naye atakushangaa kwa maana aliyejenga kijijini ndani ya hekari tatu au nne ipo nyumba moja sasa hizo squatters au slums unazipataje.

Unaipamba Mbeya bila kujua ya kwamba mbeya ni sehemu ya watu kutelekeza vijiji vyao na kuvifanya mashamba huku wakikimbilia maeneo ya mijini ilhali hao unaojilinganisha nao wao wameendeleza vijiji vyao hata kama hakujapimwa na ardhi ya Tanzania inajulikana katika suala zima la upimaji. Suala la slums zikiwekwa takwimu husika utajicheka mwenyewe.

Mwisho unapaswa ujifunze na kuelewa tofauti kati ya eneo kupimwa na ujenzi holela unaotengeneza hizo slums. Bado una safari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa hao waliojenga kwenye maeneo yasiyopimwa
 
Sina hakika sana kama una tafsiri ya hayo matokeo ya makazi kujengwa kwenye maeneo yasiyopimwa na ulichokiandika hapa. Unaelewa maana ya slums au squatters?

Kwa ufupi ni kwamba hali ya ujenzi kwenye maeneo yaliyopimwa huwezi kuchukua hizo taarifa za jumla bila kutofautisha maeneo ya mijini ambako kwa kiasi maeneo yamepimwa na vijijini ambako ni maeneo machache yaliyopimwa au kurasimishwa rasmi.

Vilevile unatakiwa uelewe kwamba takwimu za NBS zinatwambia ni maeneo yasiyopimwa na si maeneo yenye squatters kama ulivyojinasibu hapa.

Mtu wa Kilimanjaro aliyejenga kijijini kwake Kirua ndani ya hekari moja au robo heka ambako hakujapimwa atabaki anakushangaa wewe na ulichokiandika kwamba wako na slums au squatters. Vilevile mtu wa Kagera, n.k naye atakushangaa kwa maana aliyejenga kijijini ndani ya hekari tatu au nne ipo nyumba moja sasa hizo squatters au slums unazipataje.

Unaipamba Mbeya bila kujua ya kwamba mbeya ni sehemu ya watu kutelekeza vijiji vyao na kuvifanya mashamba huku wakikimbilia maeneo ya mijini ilhali hao unaojilinganisha nao wao wameendeleza vijiji vyao hata kama hakujapimwa na ardhi ya Tanzania inajulikana katika suala zima la upimaji. Suala la slums zikiwekwa takwimu husika utajicheka mwenyewe.

Mwisho unapaswa ujifunze na kuelewa tofauti kati ya eneo kupimwa na ujenzi holela unatengeneza hizo slums. Bado una safari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa hao waliojenga kwenye maeneo yasiyopimwa
 
baada ya barabara za namba ile ya 20 kwenda mbele ni vuruga vigodoro yoyote anacheza.
Sio kweli ukimaliza barabara ya 20 ukienda donge ,mwahako mwakidila bado Tanga imepangiliwa vizuri hakuna slums kama za Dar au mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…