Mikoa 10 maskini chanzo Kutozingatia Uzazi wa mpango

Mimi nashangaa Mkoa wa Kagera kuwa mkoa wa pili kutoka mwisho! Mkoa ambao una wasomi,hali nzuri ya kijiografia,wako karibu na ziwa Victoria,wanapakana na nchi jirani.
 
Hivi hamuwezi kuongelea kitu bila ya ligi za Wakristo na Waislamu?

Hapa kuna umasikini wa Watanzania, ambao wengi hata hao wanaojiita Wakristo na Waislanu ni Wakristo na Waislamu wa jina, wengine hata ukiwauliza Ukristo na Uislanu ni nini hawawezi kukujibu vizuri.

Na karibu wote wamekuwa kwenye hizo dini kwa sababu ya kuzaliwa tu, hakuna anayezifikiria critically na kuamua nakuwa dini hii kwa kuamua mwenyewe.

Kwa nini mnaona ligi ya Wakristo na Waislamu ni muhimu wakati dini zenyewe zote mmeletewa tu na zote zina matatizo yanayofanana kiasi cha kufanya hata mgogoro wa Wakristo na Waislamu kuwa ni wa kijinga tu?

Zote zinaamini Mungu wa kigeni ambao nyie Wandengereko mmeletewa tu, Mungu ambaye hathibitishiki.

Sasa kwa nini mnatoana macho kwa hoja za msingi wa uongo na ujinga tu?
 
Upo sahihi sana mkuu hapo utaonekana kama umetumia maneno makali. Masikini wanazidi kutia umasikia. Circle ni ile ile, Mungu atusaidie sana, unakuta mtu ana mshahara wa 1m ila anaoa wake watatu, aisee ni balaa. Mwingine hata 1m hafiki ila anaoa wake wawili.
 
Hapo sijaweka ligi , nimeExpose unafiki hii tabia ipo mara nyingi Jf kwa Wakristo kitu chochote kikimuhusha Muislamu basi wanahusisha na dini yake hawaangalii katika engo nyingine yeyote ile.

Kama mgeni na Jf naweza kukuwekea nyuzi kibao uone jinsi Wakiristo wanashindwa kutumia akili wanatukana hovyo Uislamu kwenye mambo yasiyohusiana na Uislamu . Lakini likitokea tukio kama hilo likihusisha Wakiristo hakuna comments hizo.

Mimi sina tabia za ligi za kidini na tena mkemeaji mkubwa wa vitendo hivyo hapa jukwaani hata wakifanya Waislamu . Mimi nafanya jitihada kuondoa hizo mentality baada ya kujadili tatizo kwa uhalisia na ujumla watu wanaanza kudiscuss dini , kusema hayo ni kama kuonyesha kuwa hoja wamazoleta kuhusu dini sio sahihi kwani kila tukisema tufanye hivyo hakuna dini itasalimika kwenye kila mada
 
Wajinga wanasema najiona nimejipata😁😁😁😁

Wanasema niache kuwakaripia,na mimi nasema na waambia wajinga wote ntahakikisha nawarura mbaya mbovu🙏🙏🙏
 
Sasa huoni kuwa Ukristo na Uislamu wote ni ujinga ule ule tu, na kama kuna unafiki na ujinga hapa ni Waafrika, ambao wote wameletewa tu huu ujinga wa Ukristo na Uislamu, ambao kimsingi ni ukoloni wa kiutamaduni. Huoni kuwa Waafrika mnagombana kwa ukoloni huu wa kiutamaduni mlioletewa na wageni?

Unaonaje unafiki wa Wakristo kuwasema Waislamu wakati suala zima la hizi dini kuwapo ni unafiki, ujinga na ukoloninwa kiutamaduni tu?

Mbona na wewe unatumia unafiki kuusema unafiki?
 

Nakubali✊🏻✊🏻✊🏻
 

Umejibu vizuri sanaaa👏🏻👏🏻👏🏻
 
Na Kagera haujaitaja , ila lawama za ngono zote wanapewa Waislamu.

Kweli chuki ni dhahiri kabisa
Chuki tu zimewajaa.

Uzuri ni kwamba kila wakileta chuki mambo yanakaa wazi wanaumbuka
 
Hata ulevi naamini ni ujinga ila siwezi kukaa kimya mlevi aonewe na awe treated unjustly kisa ulevi wake na nikae kimya kisa naamini ulevi ni ujinga.

Kuna kasumba ya kuCriticize Uislamu unjustly, ikija list ya mikoa yenye au watu wanaofeli Necta na mambo mengine mabaya ikiwa maeneo yenye Uislamu ni kinara basi hilo tatizo directly wanahusisha na Uislamu bila kuangalia influence za mazingira, tamaduni , Mila nk .

Mimi nimewakumbusha tu kuwa hiyo ni njia mbaya kwamba ukifanya hivyo hakuna dini itakayosalimika
 
Sawa.

Unafikiri kwamba kati ya dini hizi mbili, objectively, inawezekana kuna moja imeizidi ujinga nyingine?
 
Kuna kijana kazini kwangu ana gross ya 1.5, amesema hataleta mtoto duniani. Ninamuelewa sana hoja zake. Miongoni mwa wananchi wachache wenye uelewa.

Taifa linaelemewa na mzigo wa watu wasio na tija kwa uchumi na mustakabali wa taifa.
 
Oyah! Huko singida kwetu kuna umasikini wa kutupwa. Ulonzi ndio balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…