Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa

Hiyo hiyo PM wa Mpito,google utamjua tuu
 
Hiyo hiyo PM wa Mpito,google utamjua tuu
Unaona sasa?
Huwa mara nyingi napoteza 'interest' na subira na watu wa aina yako haraka sana. Hizi tabia za ubabaishaji ndizo mmezijaza huko kwnye chama na sasa hadi serikalini.
Hovyo kabisa.
 
Unaona sasa?
Huwa mara nyingi napoteza 'interest' na subira na watu wa aina yako haraka sana. Hizi tabia za ubabaishaji ndizo mmezijaza huko kwnye chama na sasa hadi serikalini.
Hovyo kabisa.
Jikite kwenye hoja
 
Inatakiwa kuisoma hoja sio kunisoma Mimi ,unazingua
Hoja gani toka kwa mtu asiye na ufahamu juu ya anacho zungumzia? Unacho fanya humu wewe ni kuokota tu taarifa ambazo huzielewi vizuri na kuziletta hapa kujionyesha unao ujuzi juu yake.
 
ChoiceVariable Arusha mjini na Wilaya ya Meru ndio ina mazingira rafiki ardhi nzuri na mvua ya kutosha lakin wilaya zingine ni kama na wanakaa wafugaji na hawaja utilize mifugo. Tunaishi na ng'ombe badala ya kufuga ng'ombe no wonder kimapato tuko nyuma siku tuligeuza ng'ombe kuwa pesa tutakuwa no1
 
Nimekaa Mikoa ya Kusini kwa muda mrefu. Kilichowainua karibuni ni upendeleo wa wazi wa serikali ktk mikoa hiyo na siyo ushindani wa wenyeji wake Kimikoa kujiletea maendeleo. Tuwe wakweli.
 
Nimekaa Mikoa ya Kusini kwa muda mrefu. Kilichowainua karibuni ni upendeleo wa wazi wa serikali ktk mikoa hiyo na siyo ushindani wa wenyeji wake Kimikoa kujiletea maendeleo. Tuwe wakweli.
Upendeleo wa kiaje?
 
Hoja gani toka kwa mtu asiye na ufahamu juu ya anacho zungumzia? Unacho fanya humu wewe ni kuokota tu taarifa ambazo huzielewi vizuri na kuziletta hapa kujionyesha unao ujuzi juu yake.
Jadili hoja badala ya Kuni analyse Mimi.
 
Jadili hoja badala ya Kuni analyse Mimi.
Nikiona hoja halisi, nitazijadili, na hoja hafifu/batili nitazieleza kama zilivyo. Mara nyingi unakuja humu na hoja batili, na kama ni hoja halisi unaweka tafsiri iliyo batili. Hilo ndilo ninalokueleza mara nyingi, hata kama hupendi kusikia.
 
Kama Dodoma haipo, hiyo orodha siyo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…