Ameonja chimpumu.tunaingia mwaka 2026 unatuwekea TBT za 2024
View attachment 3517224
Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024:
1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8
2. Mwanza -Trilioni 14.6
3. Mbeya - Trilioni 11.6
4. Morogoro -Trilioni 9.8
5. Arusha - Trilioni 9.7
6. Tanga - Trilioni 9.5
7. Geita - Trilioni 9.3
8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3
9. Ruvuma - Trilioni 7.8
10. Tabora - Trilioni 7.5.
Wale wanaoiponda Mbeya waje na takwimu. Siyo mnaringia maghorofa ya Serikali wakati mfukoni hamna hela
Huwa mara nyingi nasema Arusha IS OVERRATED..View attachment 3517224
Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024:
1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8
2. Mwanza -Trilioni 14.6
3. Mbeya - Trilioni 11.6
4. Morogoro -Trilioni 9.8
5. Arusha - Trilioni 9.7
6. Tanga - Trilioni 9.5
7. Geita - Trilioni 9.3
8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3
9. Ruvuma - Trilioni 7.8
10. Tabora - Trilioni 7.5.
Wale wanaoiponda Mbeya waje na takwimu. Siyo mnaringia maghorofa ya Serikali wakati mfukoni hamna hela
Ni kama Moro tuWanajua wanyaki ukiwasifia hata usipotengeneza barabara zao hawana shida, Sasa kuwa wa tatu mbona haina mahusiano yoyote Na muonekano wa Jiji lenyewe?
ChoiceVariable anatokea wapi hapa? Wewe ni kipofu wa akili, unabishana na takwimu za NBSChoiceVariable katika moja na mbili, huwa unapenda sana hizi takwimu uchwara.
Tanzania bado ni nchi masikini, yenye watu masikini, iliyojaa utajiri mkubwa sana wa rasilimali lakini yenye uhaba mkubwa wa rasilimali watu(wenye uwezo mdogo kufanya mambo)
Nini Kimekushangaza?View attachment 3517224
Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024:
1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8
2. Mwanza -Trilioni 14.6
3. Mbeya - Trilioni 11.6
4. Morogoro -Trilioni 9.8
5. Arusha - Trilioni 9.7
6. Tanga - Trilioni 9.5
7. Geita - Trilioni 9.3
8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3
9. Ruvuma - Trilioni 7.8
10. Tabora - Trilioni 7.5.
Wale wanaoiponda Mbeya waje na takwimu. Siyo mnaringia maghorofa ya Serikali wakati mfukoni hamna hela
NBS na serikali wanajulikana kwa kupika takwimu, unatuona sisi mazuzu kama mbogamboga? Tanzania chini ya ccm kuna kitu mnafanya zaidi ya kutengeneza propaganda uchwara?ChoiceVariable anatokea wapi hapa? Wewe ni kipofu wa akili, unabishana na takwimu za NBS
acha kuishi kwa kukariri, hebu lete takwimu zako kuthibitisha unacho kisemaHapo mikoa inayofanya vzr ni Arusha na Kilimanjaro! Coz inawatu wachache kuzidi hiyo mikoa mingine so GDP per capital kwenye hii mikoa miwili mambo Safi.
Kama mnavotaja utajiri wa Mbeya wakati miundombinu ya ovyo🤣🤣Sema wewe unatoka Mkoa gani na sisi tukutajie umaskini wenu