Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?

📌📌📌🔨 😁😁🤪🤪 Pole vumilia hivyo
😂😂😂Nilijua nimepiga kwenye mshono huna logic ukibanwa. Narudia tena tuletee source ya huo utajiri kwa kila mkoa tuone impact yake kwa wananchi. Sometimes utumie akili sio unakimbilia kupost ili uonekane na ww ni active member
 
Ujuaji Na ubinafsi upo hivi, nakupa scenario iliyonitokea Mimi mwenyewe ....kuna jamaa yangu ni muhaya nilimnunulia freezer , nilimpa ushauri nikamuambia atafute vijana wawili Mimi nitawalipia kodi ya chumba ili wqpate sehemu ya kujihifadhi Na lengo ilikuwa wamsaidie kwenye biashara ya kutembeza ice cream ,....cha ajabu ni kuwa aligoma kabisa Na akakomaa kuwa hiyo biashara Atlanta Fanya mwenyewe, yaani atengeneze mwenyewe Na auze mwenyewe😀😀 yaani hapa kilichokuwa kinamsumbua ni ubinafsi Na ujuaji....ni mwaka mmoja umepita sijaona chochote alichokifanya
 
Wavivu
 
Umasikini nimatokeo ya matendo na mfumo wa utawala wa Ccm

Nadhani kagera iliangushwa makusudi kiuchumi na ccm baada ya kuua zao la kahawa

Pili kagera ilipata majanga mfulizio kwa zaidi ya miaka 30
1. Vita
2. Ukimwita
3. Ajali
4. Tetemeko
5. Ukame

Mazingira ya biashara kagera siyo rafiki kwa sababu ya sera za mbovu za ccm
Kwanza bidhaa muhimu zitokazo dar zikifika bk zinakuwa na bei mara 2
Mfano vifaa vya ujenzi.

Can you imagine cement bk inauzwa tsh 27 kwa mifuko, ni mwekezajin Gani ataenda kuwekeza huko

Alafu tofauti na border zingine ukienda mipakani Kuna udhibiti mkubwa wa bidhaa zisiingie kutoka nje ya nchi automatically unajua biashara na uchumi wa watu

Tatu ni ujinga wa watu kuikumbatia ccm Hilo nako ni tatizo

Pamoja na hayo level ya umasikini nikubwa nchini inacut across mikoa yote, margin difference ni ndogo sana

hapa dar makao makuu Kuna umasiikini wa kutishia kuliko Hata huko bk

Serikali ya ccm inabidi ifanye kazi mahususi na upendeleo kuinua uchumi wa mkoa huu vinginevyo unaweza kumegwa au kujitenga na tz huko tuendako

Tukifanikiwa kuondoa ccm tukaandika katiba mpya itatoa uhuru wa kichumi kwa Kila mtu, watu wa kagera watauza kahawa Uganda bei itakuwa nzuri

Tutaleta mfumo mpya wa utawala ikiwa ni pamoja na serikari za majimbo/ mikoa/wilaya/kata zitakazokuwa na control kwenye uchumi wa mahali husika
 
English gani hii mkuu?
The phrase to put "lipstick on a pig" means making superficial or cosmetic changes to a product in a futile effort to disguise its fundamental failings. There are many phrases using pigs, monkeys, or swine, dating back to biblical times. This phrase seems to have been coined in the 20th century but did not become a common phrase until the 21st century and is often used in politics.
 
Kagera sio tu kwamba inaongoza kwa umaskini wa Mali, hata ushamba.
Ukitaka ku prove hebu panda ndege ukute ndani Kuna mhaya. Au tu ukute mhaya anakula nyama, mtaa mzima utajua au ukute mhaya amenunua Bajaj! Maweee , lazima wiki hiyo anunue walau utumbo nusu kilo kusheherekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…