Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Nilikuwa namuuliza huyo jamaa anaelalamikia Mara kuwa na mapato makubwa huku ikiwa Haina vyonzo vya mapato huku mbuga kubwa ya segment na moja ya maajabu sana yanapatikana mkoani kwao
Mnafurahia mikoa kuwa na mapato makubwa ikiwa wananchi masikini wa kutupwa.
 
Mikoa yote ya Kaskazini Ina border posts na Nchi yenye uchumi mkubwa EAC na largest trading Partner wa Tzn so lazima watafanya vizuri.

Pili Ina Utalii ambao ni Moja ya taxable activity sana.

Mbeya Ina migodi ya Wachimbaji Wadogo ambao sio walipakodi wakubwa ingawa kule kwenye Mapato ya Tume ya Madini,Mbeya inaongoza.

Mwisho Mikoa yenye migodi mikubwa kama Geita,Mara nk haijatokea hapo Kwa sababu Mapato yake Yako kwenye Large Tax Payers ambao hawajayachanganua.

GDP ndio inatoka taswira halisi ya Mchango wa Mkoa kwenye Uchumi maana Ina account Kila economic activity na value yake.
We jamaa tunauwezo wa kukupa uwaziri na ukafit vizuri tu
Una info za kutosha na uko very fast

Au usikute we ni mwigulu unaajifanya variable cost 😀
 
Back
Top Bottom