Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

Miaka 60 umeme mbovu leo mnaweka treni ya umeme..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hiyo treni haina sub station yake pekee mpaka mzime njia nzima ya umeme? Mnatukosesha ugali buaana aargh 😢
 
yale majenereta yaliyokuwa pale nyakato-mwanza si yapo??!!? wayawashe wajameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…