sawaMikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafurik...
Mtakapoanza kulia Lia kuhusu bei ya vyakula huko Dar msije kulaumu uje kushangiliaSafii
Bora zimehama DarMikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko...
changamoto iliyopo ni maji mengi kutofikia mabwawaBila shaka na bwawa la mtera tutafikiwa na mvua
Changamoto itakayokuja ni Maji mengi kufika Bwawani na kuharibu miundo mbinu ya Bwawachangamoto iliyopo ni maji mengi kutofikia mabwawa
mkkuu kwani issue ni mvua?Bila shaka na bwawa la mtera tutafikiwa na mvua
Uzuri hazinyeshi kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme vinginenyo yangezingirwa na maji.Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko...
Unawajua Tanesco wewe? Hakuna maji yataingia mabwawani hata mvua inyeshe Hadi maji yazingire hayo mabwawa.Bila shaka na bwawa la mtera tutafikiwa na mvua
Mvua kubwa maana yake nini? Kipimo cha mvua ni muda inayochukua kunyesha au wingi wa maji yanayotiririka barabarani?Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza kusababisha athari kwenye miundombinu na makazi ikiwemo nyumba kuzungukwa na maji, pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.
TMA imewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa dharura zinazoweza kujitokeza.
Unamaanisha nini mkuu?Safii