Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

Mzigo umeanza leo yan umegonga asubuhi namapema thn ukatulia watu waende makazini najioni hii tena imegonga hevy yakuwarudisha watu majumbani
We utakuwa upo mafinga![emoji23]
 
Mzigo umeanza leo yan umegonga asubuhi namapema thn ukatulia watu waende makazini najioni hii tena imegonga hevy yakuwarudisha watu majumbani
Na usiku huu tena imeshuka
 
Na bado watakosa umeme japo watakuwa na mvua kubwa kiasi hiki. Mama anatukosea sana kuteua viongozi incompetent kwenye haya mashirika ya serikali.
 
Tuna imani na changamoto zao za umeme zitaisha kutokana na mvua kubwa watakayopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…