Mikoa ambayo haiendelei kabisa

Mikoa ambayo haiendelei kabisa

1.MARA
Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala

Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari

Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule

2-SIMIYU

Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina mganga wake wakazi washazoea shida kwa iyo furaha kwao ni shida.

3-Mtwara na Lindi
Sehemu kubwa ni pori lenye maadhi ya jangwa vijana wengi wamekimbilia dar wamebaki wazee .

4-TABORA
hakuna Cha maana Tabora zaidi ya nyumba kuukuu

Maisha ni duni hakuna center nzuri
Ila tabora Ina wanawake wazuri wana matako dah aise waliopo huko wanafaidi sana
 
Ok

Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?

Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?

Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?

Je maendeleo huletwa na nani?

Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?

Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu

Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?

Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha

Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?

Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu

Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?

Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje?
Anaongelea maendeleo ya mikoa; sio watu
 
kichwa chako siyo kizima. probox yenye namba A inaweza kutembea kwenye rough road?
umesimuliwa huu ujinga
mi nipo hapa tarime ,asilimia 90 ya probox zinatoka tarime kwenda nyamongo na sirari zina namba E
chache zina D
Au unaongelea Mara ipi mkuu
Hata hiyo probox haifahamu mkuu.
Ameandika tu ndio maana hajatoa njia ziwezazo kuleta maendeleo.
Lkn pia haijui tanganyika kwa mapana yake,hajatembelea maeneo mengi ila amekariri.
 
Makao Makuu ya Mkoa wa Simiyu yalifaa kuwa Maswa kuliko Bariadi Maswa ina history ndefu sana kuliko Bariadi.
 
Kuna mtu humu aliandika mkoa wa Simiyu Wilaya Ya itilima , inakadiliwa kua na wachawi/waganga wengi kuliko idadi ya watu wanaoishi.
Hahahaha . Nmefikaa itilimaa...daah kwa kweli hapana
 
Kuna mtu humu aliandika mkoa wa Simiyu Wilaya Ya itilima , inakadiliwa kua na wachawi/waganga wengi kuliko idadi ya watu wanaoishi.
Kwa hiyo Tanga tumeizidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana sielewi
 
basi peleka marcopolo G7 kama 5 tu zikawahudumie ndugu zako. alafu waalimu uwajengee nyumba na miundombinu wabaki huko vijijini
Hazilipi labda traffic wazipige marufuku hizo probox.
Zinaitwa mchomoko zinabeba watu Saba,so wakijaa hata watano TU wanatembea sasa coaster hadi ijae saa ngapi watu utaka kuwahi
 
Sijawahi kuona gari lenye injini ya 1NZ ama 2NZ lenye usajili wa namba A.

Kumbe yapo?
 
Hapo probox yenye namba A tumepigwa hebu weka picha tuone
 
Ok

Mkuu kwako Maendeleo ni kitu gani?
Maendeleo unayapima kwa kipimo gani?

Je maendeleo ni majengo?
Je maendeleo ni pesa?
Je maendeleo ni barabara?

Je unaongelea maendeleo ya mtu binafsi?

Je maendeleo huletwa na nani?

Je wewe umekaa unasubiri maendeleo yaonekane huko kwenu?

Labda nikusaidie maendeleo yanatafsiriwa kwa kutumia kanuni za uchumi ambazo pia zina mapungufu

Maendeleo hupimwa kwa pato la Taifa (GDP) ambalo sasa unaweza kujua kila mkoa au sekta imechangia kwa kiasi gani? Na pia unaweza kugawa pato la Taifa kwa idadi ya watu ukajua maendeleo yapo vipi?

Mfano maeneo yenye mali ghafi na viwanda n i rahisi kuona yamechangia pato kubwa kwa Taifa,Lakini tukiligawa kwa idadi ya watu wa eneo hilo yawezekana kuna umaskini wa kutisha

Mfano ,Mtwara kuna bandari na kuna kiwanda kikubwa cha cement ,Pia ndiko kuna korosho zinazoingiza pesa za kigeni ,Je mapato ya bandari ya mtwara na mapato ya korosho ni kiasi gani?

Baada ya sensa serikali ilitoa report ya maendeleo pia,Je hiyo miko ipo?lakini moja ya maeneo yenye hali mbaya ni Bukoba hiyo nina uhakika na niliona kwenye report ya takwimu

Mbeya jijo ina pato kubwa ,Je ukiona watu wa Mbeya wana maisha mazuri na wana maendeleo ?

Dar es Salaam pi ina pato kubwa ,Je ina maendeleo na watu wake wengi wanaoshindia mihogo unasemaje
acha siasa za economics ya form five tena HGE, kwa kifupi hiyo mikoa ni masikini na haiendelei
 
Back
Top Bottom