October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written.
Choose wisely.
Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha chance ya kutoboa.
Kwa Hali ilivyo Mikoa hii inatarajiwa kuwa kimbilio la Wasailiwa wengi na kufanya competition íwe Kûbwa.
1. Mikoa yôte iliyokaribu na Majiji Makubwa kama Morogoro, Kilimanjaro, Manyara,Pwani. Mara, Singida, Simiyu, Iringa.
Mikoa hiyo ukichagua úwe umejipanga haswa. Úwe na Shule.
Mikoa àmbayo haitakuwa na competition kûbwa;
1. Kigoma,
2. Katavi
3. Tanga
4. Ruvuma
5. mtwara.
Mikoa àmbayo itakuwa na ushindani wa Kawaida
1. Dar es salaam
Wasailiwa wengi wataogopa kuchagua Mkoa huu Kwa kudhani kuwa competition NI kûbwa na hivyo wengi watachagua Mikoa ya Karibu kama Pwani na Morogoro.
2. Mwanza.
Huu Mkoa ni Kama Dsm, wengi hawatauchagua Kwa kuogopa ushindani. Jambo ambalo litafanya wasailiwa wawe wakawaida. Wengi watachagua Kahama(shinyanga), Geita,
3. Arusha
4. Dodoma.
Mikoa ya Mbali itakosa ushindani kutokana na hofu ya wasailiwa kuogopa kuchoma nauli yàani kubeti Kwa Jambo ambalo Hawana uhakika nalo. Mikoa ya Kigoma, Kagera , mtwara na Ruvuma Kwa watakaochagua itakuwa kitonga kwani watakuwa wachache.
Wahitimu wengi wàpo mijini na wengi vipato vyao haviwaruhusu kufanya masafa marefu kwani NI gharama. Mjiandae vyema.
Usaili ni Mbinu, uwezo, umahiri na Bahati.