Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Kinacho muangusha Lissu hana sera kutushawishi yani ni anaongea upuuzi tu...!

Mwambie akachukue sera kwa nyalandu ili angalau tumfikirie hata kama hatutompa nchi lakini at least atoe chang'amoto ya ukweli

Il kwasasa bado hata mashindano hayaja mamba!
 
Ndio maana nikasema sekta/ikihuishwa (PPP) binafsi ikingaliwa kwa jicho la tatu ndio mkombozi wa graduates.
Wakati tunasubiri ihuishwe na kuangaliwa kwa jicho la tatu vijana wanazidi kupata tabu. CCM ipumzishwe labda hawa wengine watakua na uchungu na hawa vijana.
 
No mbeya ume underestimate ni 80-90
 
Unawaambia wanafunzi wa primary usijesema unatwambia ss
 
unajkuna matako baada ya kukalia upupu,, subirini oct 2020 ntaelewa tu na hesabu zenu
 
Ndugu SS, nitaweka kumbuku hii article yako, na nitakuhakikishia kuwa wewe siblolote wala chochote, and u r a total Dreamer. Ndoto zako ni za mchana.

T.Lissu ni uongo hawezi oata hizo kura hata kwa uchawi wa kichaga
 
tufunge na kuomba kwa kweli napenda sana kuona taifa ambalo haki itapendwana kutendwa na viongozi hadi raia
Huu uongozi wa kutishana siutaki kabisa
 
Amen.
 
Wakati tunasubiri ihuishwe na kuangaliwa kwa jicho la tatu vijana wanazidi kupata tabu. CCM ipumzishwe labda hawa wengine watakua na uchungu na hawa vijana.
Kuipumzisha sio suluhisho, sululu ni sisi kushauri inavyofaa iwe.
Tunaweza kuipumzisha hali ikawa mbaya zaidi, sasa hivi at least kuna hatua zinfanyika hivyo hatuna budi kuvuka mtoni kwanza.
 
Iringa nako upinzani una nguvu sana. Tangu 1995 kina Kibasa na Chiku Abwao enzi hizo na NCCR yao waliwafungua sana wahehe kujua ubaya wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…