Mikoa Ambayo ukimuona mwanafunzi wa chuo kikuu ametoka huko, ni maajabu, huwa wanahesabika

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.

Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)

Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu

Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
 
Tena hasa wa kike bora wa kiume angalau wanahesabika.

Sio vyuo vya kati hivi ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. na huwezi kuvikuta hata kwenye mikoa wanayotokea.

Katavi
Shinyanga
Mara
Lindi
Geita
Simiyu
Africa contributes to about 1 . 6% to global scientific knowledge........ww umechangia nn??
 
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.

Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. na huwezi kuvikuta hata kwenye mikoa wanayotokea.

Katavi
Shinyanga
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu

Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi wamekulia Dar au mikoa mingine
Mleta mada acha Dharau

Unataka kusema sisi Wazalamo hatujasoma😄
 
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.

Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)

Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu

Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Bado una mawazo ya stori za zamani
 
Fanya tena utafiti wako. Singida wapo wengi, Shinyanga wapo wengi, Geita wapo wengi, Tabora wapo wengi.
Kuna kaukweli Katavi na Pwani. Aisee kwenye heka heka za elimu ya juu kukutana na mtu mwenye asili ya Pwani ni ngumu. Wanaendaga wapi?
 
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.

Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)

Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu

Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Mpuuzi wewe! Hebu nenda pale SUA ukutane na chama linaitwa MWASHITAGESI (Mwanza, Shinyanga, Tabora, Geita na Simiyu). Halafu urudi na uharo wako huu!
 
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.

Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)

Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu

Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Hapo Singida na Mara umechemka sana
 
Utoto raha fanya homework ulale mtoto mzuri eee
 
Nafanya kazi maeneo tajwa mojawapo tz.

Hauko sawa hata kidogo...

Sema Iko hivi, kwa mfano wasukuma ambao wako katavi, shinyanga, simiyu, tabora ambao waangukia kwenye mikoa tajwa..

Wengi wanajikuta wanasoma education kwasababu ya calibar Yao ya kupenda masomo magumu ya science.

Wako wengi sana boss wangu..

Madarasa mengi unakuta karibia nusu wanatoka simiyu shinyanga mwanza, geita, tabora n.k.

Na hiyo mikoa ulotaja wako wa kutosha... Hadi unashangaa mtu anatoka Lindi ndani ndani huko ambako usingetegemea afike university.

Kiufupi kafanye tena utafiti wako upya..

Elimu Bure na shule za kata zimefanya watoto wengi wenye Nia ya kusoma wafike mbali ingawa wakishafika huku juu mazingira yanakuwa magumu kutokana na gharama kubwa za university na baadhi kujikuta Wana drop
 
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.

Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)

Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu

Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Wewe umekua lini? Au unataka watu wavae tisheti zilizo na maandishi walikotokea?
 
Back
Top Bottom