Mikoa Ambayo ukimuona mwanafunzi wa chuo kikuu ametoka huko, ni maajabu, huwa wanahesabika

Mikoa Ambayo ukimuona mwanafunzi wa chuo kikuu ametoka huko, ni maajabu, huwa wanahesabika

Weka kikokotoo cha utafiti wako ulivyoufanya. Idadi ya vyuo ulivyotembelea kutafuta takwimu. Maswali uliyouliza kutafuta watu wa mikoa hiyo. Muda uliotumia, nk. Sio unakaa tu nyuma ya skrini yako na kuanza kubwabwaja.
 
sumbawanga morogoro ziongeze hapo. hiyo mikoa ya wafugaji [Geita mwanza shy] itoe wanasoma sana hao tena always wanasoma masomo yale magumumagumu
 
Back
Top Bottom