wapo wengi tuTena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati hivi ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. na huwezi kuvikuta hata kwenye mikoa wanayotokea.
Katavi
Shinyanga
Mara
Lindi
Geita
Simiyu
Africa contributes to about 1 . 6% to global scientific knowledge........ww umechangia nn??Tena hasa wa kike bora wa kiume angalau wanahesabika.
Sio vyuo vya kati hivi ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. na huwezi kuvikuta hata kwenye mikoa wanayotokea.
Katavi
Shinyanga
Mara
Lindi
Geita
Simiyu
Mleta mada acha DharauTena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. na huwezi kuvikuta hata kwenye mikoa wanayotokea.
Katavi
Shinyanga
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu
Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi wamekulia Dar au mikoa mingine
Wazaramo wa Dar hali sio mbayaMleta mada acha Dharau
Unataka kusema sisi Wazalamo hatujasoma😄
Bado una mawazo ya stori za zamaniTena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)
Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu
Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Fanya tena utafiti wako. Singida wapo wengi, Shinyanga wapo wengi, Geita wapo wengi, Tabora wapo wengi.Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)
Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu
Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Mpuuzi wewe! Hebu nenda pale SUA ukutane na chama linaitwa MWASHITAGESI (Mwanza, Shinyanga, Tabora, Geita na Simiyu). Halafu urudi na uharo wako huu!Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)
Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu
Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Hapo Singida na Mara umechemka sanaTena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)
Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu
Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
Utoto raha fanya homework ulale mtoto mzuri eeeTena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)
Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu
Ukiwakuta wenye asili za hii mikoa basi mara nyingi wamekulia Dar au mikoa mingine iliyoendelea
EWazaramo wa Dar hali sio mbaya
Hajui huyo au aende na muhimili akajionee wasukuma kwa biology na chemicals wapo vizuriMpuuzi wewe! Hebu nenda pale SUA ukutane na chama linaitwa MWASHITAGESI (Mwanza, Shinyanga, Tabora, Geita na Simiyu). Halafu urudi na uharo wako huu!
Wewe umekua lini? Au unataka watu wavae tisheti zilizo na maandishi walikotokea?Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.