M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,490 Reaction score 2,290 Aug 16, 2025 #21 Weka kikokotoo cha utafiti wako ulivyoufanya. Idadi ya vyuo ulivyotembelea kutafuta takwimu. Maswali uliyouliza kutafuta watu wa mikoa hiyo. Muda uliotumia, nk. Sio unakaa tu nyuma ya skrini yako na kuanza kubwabwaja.
Weka kikokotoo cha utafiti wako ulivyoufanya. Idadi ya vyuo ulivyotembelea kutafuta takwimu. Maswali uliyouliza kutafuta watu wa mikoa hiyo. Muda uliotumia, nk. Sio unakaa tu nyuma ya skrini yako na kuanza kubwabwaja.
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,982 Aug 16, 2025 #22 sumbawanga morogoro ziongeze hapo. hiyo mikoa ya wafugaji [Geita mwanza shy] itoe wanasoma sana hao tena always wanasoma masomo yale magumumagumu
sumbawanga morogoro ziongeze hapo. hiyo mikoa ya wafugaji [Geita mwanza shy] itoe wanasoma sana hao tena always wanasoma masomo yale magumumagumu
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,063 Reaction score 12,171 Aug 16, 2025 #23 Miguel Alvarez said: Wazalamo Click to expand... Hapa tu inaonesha namna gani mtoa mada amesema ukweli. Sasa kama kabila lako tu hujui kuliandika unadhani unaweza kuwa na elimu ya juu?
Miguel Alvarez said: Wazalamo Click to expand... Hapa tu inaonesha namna gani mtoa mada amesema ukweli. Sasa kama kabila lako tu hujui kuliandika unadhani unaweza kuwa na elimu ya juu?
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,063 Reaction score 12,171 Aug 16, 2025 #24 Braza Kede said: sumbawanga morogoro ziongeze hapo. hiyo mikoa ya wafugaji [Geita mwanza shy] itoe wanasoma sana hao tena always wanasoma masomo yale magumumagumu Click to expand... Sumbawanga sio mkoa mkuu.
Braza Kede said: sumbawanga morogoro ziongeze hapo. hiyo mikoa ya wafugaji [Geita mwanza shy] itoe wanasoma sana hao tena always wanasoma masomo yale magumumagumu Click to expand... Sumbawanga sio mkoa mkuu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 16, 2025 #25 Ngoja waje... Cc: Mahondaw