Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo upinzani inaweza kupata ushindi

Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo upinzani inaweza kupata ushindi

na pia matokeo yakija kinyume na matarajio tusifanye fujo....tukubali maamuzi ya wapiga kura na tushangilie ushindi wa pamoja.
 
ACHA DHIHAKA, NI TANZANIA YOTE, KWANI KUNA MKOA AMBAO HAUKUUMIZWA NA JIWE?
1. Walimu wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa

2. Wafanyabiashara
3. Wanafunzi
4. Vyeti fake

5. Wamachinga .
6. Wafanyakazi
etc etc
Hapa ndipo mnapokosea kufanya assumptions. Matokeo yanaweza kuwa tofauti kuliko unavyodhani
 
ACHA DHIHAKA, NI TANZANIA YOTE, KWANI KUNA MKOA AMBAO HAUKUUMIZWA NA JIWE?
1. Walimu wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa

2. Wafanyabiashara
3. Wanafunzi
4. Vyeti fake

5. Wamachinga .
6. Wafanyakazi
etc etc
Juzi nilikuwa Morogoro, raia wanalalamkika jinsi Magufuli alivyowadharau kwa kutokufika hata kuomba kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelezea vizuri, kumbe upinzani unaweza, unaweza, unaweza, unaweza kupata ushindi. your wishes. you pray to happen, in anticipation. Vizuri.
 
Upinzani unabeba majimbo ya mikoa yote, chamsingi ni kuhakikisha tunathibiti wizi na udanganyifu wa aina yoyote!

Tusiruhusu watu wapenyeze zile kura za wizi au kuchakachua matokeo, Tathminini inaonyesha kama si kuengua wagombea katika majimbo mengine upinzani ulikua umekifuta kabisa chama cha mbogamboga!
Mnadhibiti vipi na wakati mshadhibitiwa mpaka sasa?
 
Majimbo ya Arusha mjini? Bro are u serious Arusha mjini kuna majimbo mangapi... Na mark my words Lema hatoboi Arusha mjini ondoa hilo tayari
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
Kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya uliyotendewa 5 yrs
 
Ahaa! Si umeshaambiwa safari hakuna cha kumwachia Mungu! We subiri matokeo yatangazwe na ithibitike kuna dhulma ya haki ndipo utajua safari hii watu hatanii tena!
Nyuma ya keywords mtafanya mtakacho. Ila kuingia front hamuwezi
 
Mikoa yoote imeamka mkuu

Hakuna mkoa ambao hujaadhirika na selikali hii ya mabavu.

Usitegemee mkoa wowote kuiunga mkono CCM watanzania wanazidi kuamka usingizini.
Na zile kauli za maendeleo hayana chama Mara Yana connection , nazo wananchi wanazichukia, wanataka mabadiliko na kusema wote Ni Watanzania regardless chama. Mpaka sasa Lissu anaweza akanyakua Asilimia 95, hata kula ziibwe vipi.
 
Majimbo yote yanarudi Ccm

Tulichagua Chadema wakaishia kututesa na kutunyanyasa
Acha ushoga wewe, CHADEMA walikutesea wapi, kuna mtu CHADEMA wamemteka,wamemfunga, wamemjeruhi. Wakina Ben Saanane wako wapi...walitekwa na CHADEMA. Acha ushamba wa Kisukuma Jamvini.
 
Kesho Watanzania tunaenda kumsulubu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji

CHADEMA wametutesa sana kwenye majimbo yao

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Acha ushoga wewe, CHADEMA walikutesea wapi, kuna mtu CHADEMA wamemteka,wamemfunga, wamemjeruhi. Wakina Ben Saanane wako wapi...walitekwa na CHADEMA. Acha ushamba wa Kisukuma Jamvini.
 
Uku Musoma niliko watu na siasa wako moto ila ni kama CCM itashinda kirahisi
 
Back
Top Bottom