Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

kataja mikoa mingi sana mbona, sijui kwa nini umeona wachaga tu, wakati wachaga wenyewe hawajajaza hata nusu ya mkoa wa Kilimanjaro japo ndio mkoa mdogo zaidi TZ baada ya Dar
Mkoa mdgo lkn unaiburuza mikoa mikubwa kimaendeleo,kielimu
Kilimanjaro na udogo wake Ni mkoa wa 2 kwa maisha Bora kwa watu wake baada ya dar yaani 90%ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora kwa mujibu wa takwimu za nbs
Pia kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa idadi ya shule nyingi za sekondari(315), na za advance (66)
 
Wachaga ni wapishi wazuri mno ndio maana mahotel makubwa wapishi wakuu ni wachaga,hata matamasha ta nyama choma wamiliki ni.wachaga
Kilimanjaro mapishi ndio kwenyewe ndizi ,nyama,mtori
Ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye uzi huu.

Ndugu yako instanbul anakuja.
 
Kiukweli mikoa yote ya ukanda wa pwani wanajua kupika na si tu wanawake mpaka wanaume.... huwezi kulinganisha na kule kwa akina yekke muraaa!
 
Umeongea points sana
 
kwa hiyo ulionja vyakula vya mikoa yote...
 
NAMBA Nane baby.
Tunajua mpaka tunaumwa uko sahihi mdau,acha povu lijae pipa.
 
Kwa Tanga nakubariana nawe asilimia zote ikifuatiwa na namba 9 jiji lililosheheni wanaume wengi legevu wasiojiweza kufanya kazi

Namba 10 ni sawa na wasukuma wa shinyangga wakikupikia ugari utang'ata kidole ni mtamu baraa
 
kuna harufu ya udini hapa.....
CHA AJABU HIYO MIKOA WANAPOJUA KUPIKA 95% YA WATU WANAOTOKEA HUKO HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA BALI NI WATU WA MWISHO KWA KILA KITU.....
 
Hehe 14 chaga, izo people hazijui kupika kabisa yani naunga mkono hujawaonea.
 
Kafanye tafiti kwanza kuna mikoa mingapi Tz ndo uje na huo utafiti wako, maan a naona umeweka mikoa kikanda tu na wala sio utafti as if una chuki na watu fulan,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…