Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

kataja mikoa mingi sana mbona, sijui kwa nini umeona wachaga tu, wakati wachaga wenyewe hawajajaza hata nusu ya mkoa wa Kilimanjaro japo ndio mkoa mdogo zaidi TZ baada ya Dar
Mkoa mdgo lkn unaiburuza mikoa mikubwa kimaendeleo,kielimu
Kilimanjaro na udogo wake Ni mkoa wa 2 kwa maisha Bora kwa watu wake baada ya dar yaani 90%ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora kwa mujibu wa takwimu za nbs
Pia kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa idadi ya shule nyingi za sekondari(315), na za advance (66)
 
Wachaga ni wapishi wazuri mno ndio maana mahotel makubwa wapishi wakuu ni wachaga,hata matamasha ta nyama choma wamiliki ni.wachaga
Kilimanjaro mapishi ndio kwenyewe ndizi ,nyama,mtori
Ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye uzi huu.

Ndugu yako instanbul anakuja.
 
Kiukweli mikoa yote ya ukanda wa pwani wanajua kupika na si tu wanawake mpaka wanaume.... huwezi kulinganisha na kule kwa akina yekke muraaa!
 
nadhani kupika kila mtu ana asili ya mapishi yake na upishi kulingana na chakula kinachopatikana kwenye mazingira yake msukuma wa shinyanga anajuaje kupika kwa nazi wakati amezoea Samli!?. Mathalani ukichunguza anaosema hawajui kupika utakuta kuna chakula cha asili yao utachokipenda ndio maana utaona kuna restaurant za mataifa mbalimbali ambayo hupika chakula cha asili yao kama ethiopian thailand na mengineo hivyo huwezi sema watu flani hawajui kwa kuwa hawajui kupika chakula ambacho kwao ni cha mapokeo mimi kilimanjaro wananikosha kwa mtori,
Umeongea points sana
 
NAMBA Nane baby.
Tunajua mpaka tunaumwa uko sahihi mdau,acha povu lijae pipa.
 
Kwa Tanga nakubariana nawe asilimia zote ikifuatiwa na namba 9 jiji lililosheheni wanaume wengi legevu wasiojiweza kufanya kazi

Namba 10 ni sawa na wasukuma wa shinyangga wakikupikia ugari utang'ata kidole ni mtamu baraa
 
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.

B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani
kuna harufu ya udini hapa.....
CHA AJABU HIYO MIKOA WANAPOJUA KUPIKA 95% YA WATU WANAOTOKEA HUKO HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA BALI NI WATU WA MWISHO KWA KILA KITU.....
 
Hehe 14 chaga, izo people hazijui kupika kabisa yani naunga mkono hujawaonea.
 
Kafanye tafiti kwanza kuna mikoa mingapi Tz ndo uje na huo utafiti wako, maan a naona umeweka mikoa kikanda tu na wala sio utafti as if una chuki na watu fulan,
 
Back
Top Bottom