Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia..

Unakuta kimji kidogo kiwilaya ila watu wanakosa maji kweli? Basic human need ..nchi hii..huku wengine Wana bilioni 20 kwenye akaunti, wengine wananunua vifaa vya ujenzi vya bilioni 2+, wengine hata tunapewa Dole la kati na watoto wadogo ambao wazazi wao wanafuja mali za umma ila wapen basi maji wananchi Yan kwa mapesa haya Tanzania haikutakiwa kua na shida ya maji...

Kuna wilaya Moja maarufu nchini mzee mmoja mwenye heshima zake Mungu amrehemu huko aliko alichukia umaskin, alikua mbunge ila kwa pesa yake na utajiri wake alifanya overhaul Moja matata sana kias kwamba hio wilaya kukosekana maji ni haiwez kutokea maisha ..na alikua chama Cha upinzani..japo hapa wale wenye Husda na chuki wakionaga hivi wanakunja sura walitaka kusiwe na maendeleo ili watanzania wateseke au waje kuombea kura mateso ya watanzania...

Yan kweli mtu unachamba na maji ya Kilimanjaro? Tufyakwaaa...nonsense ....rubbish kabisa...
 
Hapa nilipo ni 14km mpaka ziwa victoria na ni mjini ni hiace tu 700 Ila maji bana ni shida watu wananunua dumu shilingi mia Tano.
Sasa na hii ni mitano Tena kweli, ama ndio ukiongea ukweli unachukiwa, Ila siasa na biashara mie huwa nasema hao watu wawili wote ni wezi na wanadanganya anayeliwa
 
Back
Top Bottom