Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

Yani umeniwahi nilitaka kusema hivi hivi, katika mikoa inayoongoza kuwa na wanaume wenye Sura nzuri mmojawapo ni Arusha, hata mimi wengi wao wamenizidi uzuri kwa kweli [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Mara
2. Arusha
3. Mwanza
4. Geita
5. Shinyanga
6. Mbeya
7. Rukwa
8. Katavi
9. Songwe
10. Iringa

Ondoa Arusha hapo haifai kuwepo NO HOMO ila watu wa kanda hiyo na kilimanjaro ni wacute...........NO HOMO.

N.B
Nipo tayari kwa spana wadau
 
Back
Top Bottom