Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baasi kausha🤣🤣🤣🤣 sio huyo tu bwana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeanza Waja, LolHuyu ni zao la kanda ya ziwa.
View attachment 3240189
🤣🤣🤣🤣Sura za kazi bila pesa unaonekana kama kichaa au mwehu tu.
Hao wameshapigwa jua la dar lazima wawakeKina mwijaku na baba levo? Bff hauko serious 😹😹
😃😃😃DahNa wanawake wao nao sura zimekakamaa kigumu hivyohivyo, wana ngozi kama ya mamba!
Hahahaha🤣🤣🤣 na wewe ni wa "Ntwara" nini!
Yani umeniwahi nilitaka kusema hivi hivi, katika mikoa inayoongoza kuwa na wanaume wenye Sura nzuri mmojawapo ni Arusha, hata mimi wengi wao wamenizidi uzuri kwa kweli 😀😀Naomba uwatoe wanaume wa Arusha!
Wana sura nzuri kunizidi.
Q mm q😂Hadi warembo wa arusha wapo 😁
Hebu sura yakoNaomba uwatoe wanaume wa Arusha!
Wana sura nzuri kunizidi.
NjooHebu sura yako
Nije wapi huko?Njoo
ushiled,lazima nikutafute kwa nn umesifia sana jemba za lake zoneWanaume wapo kanda ya ziwa tu😝😹
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani umeniwahi nilitaka kusema hivi hivi, katika mikoa inayoongoza kuwa na wanaume wenye Sura nzuri mmojawapo ni Arusha, hata mimi wengi wao wamenizidi uzuri kwa kweli [emoji3][emoji3]
Mkiwa kwenu wakorofiiiii ila mkienda mikoa mingine mnauzishwa mayaiWanaume wapo Mara tu
1. Mara
2. Arusha
3. Mwanza
4. Geita
5. Shinyanga
6. Mbeya
7. Rukwa
8. Katavi
9. Songwe
10. Iringa