Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

Arusha inaongoza Kwa wanaume wavuta bangi na mirungi.inatakiwa mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya wawekeze nguvu huko.Nimefanya utafiti wangu nimegundua vijana na wazee wa Arusha akili zao zimevurugwa na bangi na mirungi
 
Back
Top Bottom