Mikoa inayoongoza kwa watu warefu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm)



Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, nguvu za mwili, uwezo mkubwa wa akili, n.k. ni vitu ambavyo havibadiliki hata mtu akiwa jela

1. Arusha
2. Mara
3. Kagera
4. Kilimnjaro
5, Mwanza
6. Shinyanga
7. Singida
8. Manyara
9. Tanga
10. Pwani
 
Urefu unasaidia nini kwenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…