Mikoa inayoongoza kwa watu warefu

Mikoa inayoongoza kwa watu warefu

Mhhhhhh Tanga tupo top 5
Believe that, Ni mkoa unaoweza kuufatilia hata kwa wachezaji wa ligi kuu utagundua on average ni warefu hasa mabeki na makipa.

nimesoma na wasambaa, wale jamaa urefu sio haba
 
Mbeya watu wengi sana ni wafupi japo nimewahi kumuona giant wa kinyakyusa, ni amepanda hewani na bodi la mazoezi, ilibidi awe anacheza basketball Marekani na kina Lebron
Mbeya ndo mkoa pekee wenye watu wana maumbo ya mraba yaani urefu na upana vimelingana
 
Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm)

View attachment 3085375

Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, nguvu za mwili, uwezo mkubwa wa akili, n.k. ni vitu ambavyo havibadiliki hata mtu akiwa jela

1. Arusha
2. Mara
3. Kagera
4. Kilimnjaro
5, Mwanza
6. Shinyanga
7. Singida
8. Manyara
9. Tanga
10. Pwani
ukweli ukienda arusha sisi wameru na wamasaai tuko warefu
 
Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm)

View attachment 3085375

Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, nguvu za mwili, uwezo mkubwa wa akili, n.k. ni vitu ambavyo havibadiliki hata mtu akiwa jela

1. Arusha
2. Mara
3. Kagera
4. Kilimnjaro
5, Mwanza
6. Shinyanga
7. Singida
8. Manyara
9. Tanga
10. Pwani
 
Kilimanjaro umetupiga, wapare na urefu wapi na wapi.??

Hata hivyo Tz haina watu warefu sisi ni wafupi, ukiingia kwenye misongimano ya watu wengi ni level moja mpishano ni mdogo sana.
 
Kwenye list ya wafupi watu wa moro ni no1 nchi nzima. Tumrejelee kichuya na kibwana kama mfano hai. Mzamiru ndio tolu. List ya walevi ikija iwe n kipengele cha pombe kali, bia n pombe asilia kama mbege n mnazi n chang'aa🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom