Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
😅😅ingekuwa urefu unaleta maendeleo basi China na JapanUrefu unasaidia nini kwenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅ingekuwa urefu unaleta maendeleo basi China na JapanUrefu unasaidia nini kwenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?
Urefu unasaidia nini kwenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?
Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, n.k. ni vitu ambavyo havibadiliki hata mtu akiwa jela😅😅ingekuwa urefu unaleta maendeleo basi China na Japan
Sio maeneo yote ni wafupi, Kilimanjaro kuna wapare ni wafupi piaMbeya watu wengi sana ni wafupi japo nimewahi kumuona giant wa kinyakyusa, ni amepanda hewani na bodi la mazoezi, ilibidi awe anacheza basketball Marekani na kina Lebron
ndio maana tunaangalia wastani / average.Sio maeneo yote ni wafupi, Kilimanjaro kuna wapare ni wafupi pia
Na privadinyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilimanjaro ya H. Ibwe na A. Kamwe?
unaongelea urefu wa kitu ganiKanda ya ziwa ni Warefu hatareee, nilisoma na nshomilee sio kwa ulee urefuu, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanga ndo imeharibu list yako.Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm)
View attachment 3085098
Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, nguvu za mwili, uwezo mkubwa wa akili, n.k. ni vitu ambavyo havibadiliki hata mtu akiwa jela
1. Arusha
2. Mara
3. Kagera
4. Kilimnjaro
5, Tanga
6. Mwanza
7. Shinyanga
8. Singida
9. Manyara
10. Simiyu
11. Pwani
😂😂😂😂🐝Wapare wanavuruga takwimu
Ni mbegu fupi au suala la lishe linachangia udumavu pia?wastani wa urefu wa WA Tanzania wote ni 159 cm yani ni full mbegu fupi
4. Kilimnjaro
Fuatilia hata mpira, Ni mkoa ulioweza kutoa wachezaji wengi na warefu si habaTanga ndo imeharibu list yako.
Watu wa Tanga ni wafupi hadi nkajuaga watoto.
Wanyakyusa wapi unawazungumzia, mimi wanyakyusa nimekutana nao wengi sana na nimeish Mbeya on average ni wafupi.. Ila kuna maeneo flani huko Kyela kuna mbegu ndefu nadhani ni kina Tulia hao lakini ni wachache sanaMara (Waluo na Wakurya)
Arusha/Manyara (Wamaasai)
Singida (Wataturu)
Mbeya (Wanyakyusa)
Tabora (Wanyamwezi)
Shinyanga (Wasukuma wale wa Mwanza wafupi wafupi)
Kagera (Waangaza)
Katika maeneo niliyozunguka, angalau hii mikoa na hayo makabila ndio ina wastani wa raia warefu kwa wastani wa 1.7 hadi 1.9 hapo...