Mikoa inayoongoza kwa watu warefu

Mbeya watu wengi sana ni wafupi japo nimewahi kumuona giant wa kinyakyusa, ni amepanda hewani na bodi la mazoezi, ilibidi awe anacheza basketball Marekani na kina Lebron
Sio maeneo yote ni wafupi, Kilimanjaro kuna wapare ni wafupi pia
 
Kanda ya ziwa ni Warefu hatareee, nilisoma na nshomilee sio kwa ulee urefuu, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanga ndo imeharibu list yako.
Watu wa Tanga ni wafupi hadi nkajuaga watoto.
 
Nchini Mara ndio kunaongoza, then Arusha kunafuata🙂
 
Koh koh Boomboclat konde Boy ko mi namba waani Baaakhresaa
 
Mara (Waluo na Wakurya)
Arusha/Manyara (Wamaasai)
Singida (Wataturu)
Mbeya (Wanyakyusa)
Tabora (Wanyamwezi)
Shinyanga (Wasukuma wale wa Mwanza wafupi wafupi)
Kagera (Waangaza)

Katika maeneo niliyozunguka, angalau hii mikoa na hayo makabila ndio ina wastani wa raia warefu kwa wastani wa 1.7 hadi 1.9 hapo...
 
Wanyakyusa wapi unawazungumzia, mimi wanyakyusa nimekutana nao wengi sana na nimeish Mbeya on average ni wafupi.. Ila kuna maeneo flani huko Kyela kuna mbegu ndefu nadhani ni kina Tulia hao lakini ni wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…