Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Hautoboi ukifanya biashara gani?

Taja mkoa na biashara gani hautatoboa. Mfano ukienda Makete kuuza mafriji ni wazi utasumbuka kutoboa. Lakini ukienda kuanzisha kampuni ya kutengeneza shower heads na kuziwekea heater unaweza ukawa na soko constant
 
Kilimanjaro wakikujua wewe sio Mchaga hutoboi.

Kule Shinyanga hasa maeneo ya Kahama panafaa kibiashara. Pako bize muda wote (usiku wa manane na alfajiri) maduka yapo wazi na huduma ya vyakula inapatikana hapo kutoboa ni rahisi sana
 
Itoe Rukwa hapo,huko Kuna kutoboa kirahisi km unajitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…