Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

20241002_173233.jpg
20241022_145610.jpg
20241025_155223.jpg
 
Mtoto alokulia maisha kigumu gumu apatapo hela ni mara chache ata wewesekaaa .... United republic of Rombo
 
Wapi ambako hakuna ardhi ya kutosha? Kigoma au Lindi ama Tabora au wapi huko?

Mwisho hakuna takwimu mbaya ambayo Rukwa haikosi,Ardhi pekee hazitoshi kuondoa umaskini
Neno "ardhi" naona hujaielewa mantiki yake. Njia za kukufanya utoboe huko zipo nyingi shida ni tatizo lilopo kichwani mwako na si Rukwa. Masikini wapo Kila sehemu, umasikini wa mwingine si kigezo cha kufanya wewe usitoboe hiyo si hoja hata kidogo. Nitatizo tu lilopo akilini mwako. Katafute pesa kulingana na naafasi zilizopo usingoje pesa ya zari, utapeli, haramu au kudanga kule Kuna code zake za kutoboa.
 
Sahihi mkuu.
 
Rukwa mnaijua nyie kweli au ndio mazoea ya kuishi kwenye umaskini?

Hata Kwa macho tuu Rukwa au pale Sumbawanga unafananisha na Kigoma? Labda inazidi Lindi tuu
Hoja yako imejikita kwenye simple observertion na hauna fact za kujua code za mkoa mwishoni umehamia kufananisha mionekano ya miji ambapo kipimo chako pia Chakupima miji ni sahihi kiasi Gani mpaka kiwe na mamlaka ya kudogosha miji Fulani?( labda wewe unaona uwepo wa madanguro ndio kutoboa? Huwezi kuwa sahihi). Masikini Kila sehemu wapo. Tatizo ni lipo kichwani ndilo linakufanya uone Kila kitu ni tatizo pale thus wazoefu wa Rukwa wamekupinga.
 
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Kwa uzoefu wangu, wa kutembea mikoa mbalimbali ya Tanzania Kagera kuna fursa nyingi kama ulivyo orodhesha hapo ila zinahitaji mitaji mikubwa sana ili kujikomboa kiuchumi.
 
Hoja yako imejikita kwenye simple observertion na hauna fact za kujua code za mkoa mwishoni umehamia kufananisha mionekano ya miji ambapo kipimo chako pia Chakupima miji ni sahihi kiasi Gani mpaka kiwe na mamlaka ya kudogosha miji Fulani?( labda wewe unaona uwepo wa madanguro ndio kutoboa? Huwezi kuwa sahihi). Masikini Kila sehemu wapo. Tatizo ni lipo kichwani ndilo linakufanya uone Kila kitu ni tatizo pale thus wazoefu wa Rukwa wamekupinga.
Hujaona facts hapo Juu? Mkoa wa Rukwa uko top 10 ya Mikoa maskini,upo top 10 ya Mikoa ambayo inakusanya pesa kiduchu na uko top 10 ya Mikoa inayoongoza Kwa udumavu.

Facts zipi tofauti na hizo? Ulishawahi ona wapi Mkoa unategemea mahindi ukawa na mzunguko wa hela?

Mwisho hukuwahi soma visual observation? Makazi ya watu wa Sumbawanga na Mji kupooza ni ushahidi tosha wa umaskini.
 
Neno "ardhi" naona hujaielewa mantiki yake. Njia za kukufanya utoboe huko zipo nyingi shida ni tatizo lilopo kichwani mwako na si Rukwa. Masikini wapo Kila sehemu, umasikini wa mwingine si kigezo cha kufanya wewe usitoboe hiyo si hoja hata kidogo. Nitatizo tu lilopo akilini mwako. Katafute pesa kulingana na naafasi zilizopo usingoje pesa ya zari, utapeli, haramu au kudanga kule Kuna code zake za kutoboa.
Rukwa zaidi ya utajiri wa uchawi hakuna kitu Cha maana,hakuna zao la biashara Wala migodi ni kama maingilio ya jehanamu.😂😂

Mimi siwezi ishi Mkoa ambao 99% ya watu ni mafukara.
 
Kama fikra ndiyo hizi acha ccm watutawale milele,unawaza utajiri wa,uchawi Dunia ya Leo!kwanza wafipa na Hela ya uchawi umewahi sikia wapi,acha stori za vijiweni nenda Rukwa katafute hela
 
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Mi huwa nashindwa kuelewa,.Fursa zote hizo kweli alafu mtu anakwambia ngumu kutoboa,sema kila mtu na mawazo yake.
 
Yo
Hujaona facts hapo Juu? Mkoa wa Rukwa uko top 10 ya Mikoa maskini,upo top 10 ya Mikoa ambayo inakusanya pesa kiduchu na uko top 10 ya Mikoa inayoongoza Kwa udumavu.

Facts zipi tofauti na hizo? Ulishawahi ona wapi Mkoa unategemea mahindi ukawa na mzunguko wa hela?

Mwisho hukuwahi soma visual observation? Makazi ya watu wa Sumbawanga na Mji kupooza ni ushahidi tosha wa umaskini.
Your facts have no authority of a witness so your claim is absurd. Ondoa presuppositions be objective
 
Rukwa zaidi ya utajiri wa uchawi hakuna kitu Cha maana,hakuna zao la biashara Wala migodi ni kama maingilio ya jehanamu.😂😂

Mimi siwezi ishi Mkoa ambao 99% ya watu ni mafukara.
Hapa ndio umejifunua kabisa tatizo lako kichwa chako Kiko na problematic mindset matokeo yake unaona impossibilities na si possibilities. Tiba ondo myths( fikra za kichawi, lango la jehanam), narrow minded ( migodi pekee ndio kutoboa) presuppositions, prejudices zote ili uwe objective katika manga'muzi sahihi. Vinginevyo mizani yako ya upimaji Haina uhalali na ni batili. Null and Void
 
Yo

Your facts have no authority of a witness so your claim is absurd. Ondoa pressappositions be objective
Kwamba unapingana na takwimu za Serikali au? Leta za kwako basi ila sio hivyo kwenye Mikoa 10 maskini Tanznaia Rukwa ipo hutaki ndio hivyo
 
Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬

1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma

My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.

Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Fake and immature
1: Dodoma
2: singida
3. Rukwa

ziko njema
 
Back
Top Bottom