ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #81
Hapa unazungumzia mkulima mkubwa au mfanyabiashara ndio wanaweza kutafuta soko nje ya Mkoa.Rukwa ni kweli wenyeji wamezubaa (ila wachapakazi) na uzuri sio wakabila, wageni wamekamatia fursa hasa Sekta ya Kilimo. Ukiwekeza kwenye Kilimo umetoboa ila uwe mbunifu pia wa kutafuta masoko nje ya mkoa wa Rukwa utapata faida hata mara mbili mpaka tatu.
Vipi wakulima wadogo? Kwa nini hao wanunuzi wasije wenyewe? Unakoenda kuuza ndiko wanapata mzunguko wa hela nyie mnasalia kupiga miayo kusubiria mavuno mengine.
Mikoa ya hivyo huwezi toboa ,Bora hata uende Lindi ukalime korosho.